Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Mshana Jr hyo ya watu kuongea kupitia angle ya ukuta nimekuwahi naona Mara nyingi hafu huwa nabaki nashangaa, nikiwakazia macho hutapatapa ka kifaa na kupotea, hivi kuwaona wakiingia haiwezi ni zuru kweli maana hukaza macho na kusali basi
 
Mkuu; Najaribu: Ithibati = Physical recognition (kinachoweza kushikika,kuonekana, kuhisiwa kwa vionjo (The 5 senses) vya mwili au utambuzi wazi. (I stand to be corrected).
Asante mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: uth
Uchawi ni ulaghai tu uchawi ni hofu wanao dhulika na uchawi ni wenye hofu tu.kabla hujani niamini mimi jiulize mwenyewe uchawi nini unaishi wapi?nani mwenye nao hasa?basi nikujuze uchawi huishi kwenye fikra zetu/mawazo yetu.hofu tulizo nazo ndizo shida kubwa wengine sisi tulisha toka huko kabisa hatuna mpango na hofu hiyo
 
Kuna wakati niliyajua matabano ya zongo ilibidi tufundishwe maana enzi hizo watoto wa Dar mkifika bush asubuhi mnacheza mkiwa mmevaa ndala vibibi vinashindana kuwarushia mazongo
Ule utaalamu ningeuhifdhi sasa hivi tungepiga pesa bro Mshana Jr
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]long time no see you brother
Kuna mtu humu jf jina limenitoka,alipandisha uzi hapa jf kuwa mshana Jr ni kibaraka wa shetani humu jf,nilicheka sana hivi ule uzi uliuona mwenyewe?
 
Kwanza kwa taarifa yako benki zinaibiwa sana ila kwakuwa kunakuwa hakuna palipovunjwa watasemaje wameibiwa?
Pili benki huwa zinajitahidi sana kuficha wizi unaotokea ili kuwapa wateja imani ya usalama wa pesa zao
Tatu Mchawi wa kweli hahitaji kwenda kuiba pesa kwakuwa mahitaji anayotaka anayapata bila hata pesa
NNE Mchawi hahitaji kwenda NECTA kuiba majibu... Kama akihitaji mwanae afaulu atamletea majibu kwa njia ya Bluetooth ya kilozi au ata insert majibu automatically kwenye medula yake
Ila pia watoto wengi wa WACHAWI kichwa ni butu mno. Wengi hawa cross secondary na huwa hata mikoa yao kielimu inashika mkia. Kumbukeni mikoa kama Tanga, Lindi na Mtwara matokeo ya NECTA miaka iliyopita. Bila kusahau Pemba. Msinipige makofi. Mshana Jr atanitetea.
 
Kwa vile ushaleta ukabila basi tuende kikabila,jiwe anatoka ukanda gani?halafu ambatanisha na copy ya vyeti vyake vya elimu orginal tuvione.
 
Kwa vile ushaleta ukabila basi tuende kikabila,jiwe anatoka ukanda gani?
Hahaha mkuu hapo nimegusa mikoa michache inayoongoza kwa uchawi kwa kuanzia. Kulikuwa na thread ya mikoa lozi huku ndani labda waifukue wanaojua jinsi ya kufukua. Kanda ya ziwa pia ilikuwepo ikiwemo Shinyanga. Pia mikoa kama Kigoma na Rukwa.
 
Hujajibu swali,basi tuambie kanda gani hakuna uchawi?
 
Back
Top Bottom