Hapa kwetu usukumani kuna mtu alikuwa akiitwa Ng'wana malundi.na mwingine anaitwa makongolo.hawa watu walikamatwa na mjerumani wakafungwa.lkn kila cku asbh wanawakuta nje.wanafungia tena na kuweka ulinzi mkali.lkn baadae wanawaona wako nje ya gereza.wakiwauliza mmetokaje.wanaaema tumepitia mlangoni.baadae wakawapereka kwenye kisiwa cha mafia wakawaacha huko ili wafe na njaa.wazungu walipoondoka hawa wafungwa wakaulizana.ndugu tutakula nn hapa kisiwani?! Makongoro akasema mm ninaweza kulima ba kuivisha leo hihii,tatzo ni mbegu tutapataje? Mwana malundi akasema mm ninaouwezo wa kupasua hii bahari na tukapita tukitembea.makongolo akasema pasua tufate mbegu za mahindi na malando ili tulime.kweli mwana malundi alitupa kudude kikapasua maji na wakapita mpk ng'ambo.wakachukua mbegu za mahindi na viazi.jioni yake wakapata.kuamka asbh mahindi yameiva na viazi vimechana matuta.ikawa ni kula na kupeleka kuuza mjini kila cku.wajerumani waliposikia kuwa wale wafungwa wanakuja mpk mjini dar es salaam na kuuza mahindi na viazi.ilibidi waje kudhitisha.ba kweli wakawakamatia mjini.na mizigo ya mahindi.wakawaambia tuonyeshini njia mliyopitia.wakaenda ufukweni na kutupa kile kudude maji yakatika na sekende kadhaa wako kisimani.walipofika wakakuta shamba la viaz na mahindi yameiva sana kuliko hata shamba darasa.wakauliza mmepanda lini? Wakajibu tunapanda kila siku jioni na kuvuna kesho asbh.hawa mpk wameacha alama kwenye mawe.km biblia na quruani zingekuwa hazijafungwa.hawa lazima wangekuwemo.