Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Hahaaaa...tatizo hapa jamaa aisingeamini kama alipotezwa salama. Shida kubwa ya haya mambo ya roho hayathibitiki, hayaaminiki na hayajirudii. Mchawi akiua, ukimuambia arudie namna alivyofanya akaua hawezi.
We unaweza kurudia ndoto yako uliyoota usiku!?
 
  • Thanks
Reactions: uth
Naomba kujua kwann hawa wataalamu asilia wenye ujuzi hata kuliko sayansi wanashindwa kuingia benki na kuchukua fedha za kutosha halafu wakatoweka? Au kwann wanashindwa kufanya watoto wao kuwa TANZANIA ONE kwa kuamisha mitihani kutoka necta na kuwakabidhi wasolve kabla ya paper??
Bado nawaza kuna nn katikati!!
Tufumbuane macho kuhusu security systems za hizi tahasisi!!
Mchawi hajawai kufanya uchawi wenye faida kwa jamii, yeye ni mambo ya fitna, roho mbaya nk
 
Hivi inawezekana tukawa tunaingia marekani bila passport na visa? Yaani ni mwendo wa flash tu upo DC? Kama ndiyo hivyo kwanini isifike wakati watu wawe wanaenda nchi jirani watakavyo?
 
Mkuu, kama unakumbuka mwaka 1997 Dr. Matunge aliita wandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa serikali na kuutangazia Umma kuwa anataka kuanzisha huduma ya Usafiri wa Anga kwa kutumia Ungo/sayansi ya asili. Akasema ataanza na ruti ya DAR-MWANZA etc. Kama sijakosea, waziri wa sayansi na technology alikuwa Dr. Pius Ngw'andu. Ilileta hisia tofauti kwa wananchi...
sasa kwanini hawakumpa " go ahead" daaahh miafrica sisi wajinga sana
 
Mkuu, kama unakumbuka mwaka 1997 Dr. Matunge aliita wandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa serikali na kuutangazia Umma kuwa anataka kuanzisha huduma ya Usafiri wa Anga kwa kutumia Ungo/sayansi ya asili. Akasema ataanza na ruti ya DAR-MWANZA etc. Kama sijakosea, waziri wa sayansi na technology alikuwa Dr. Pius Ngw'andu. Ilileta hisia tofauti kwa wananchi...
Matunge alikuwa msanii
 
  • Thanks
Reactions: uth
Nakubaliana na wewe mkuu,

"sayansi inapoishia ndipo uchawi unapoanzia"

1. Hii ya mtu kutumia macho kumdhuru mtu mwingine kwa kutumia mionzi isiyoonekana ushahidi wake mzuri ni bluetooth jinsi inavyofanya kazi, mtu ili apone ni lazima adisconect na hio mionzi, manabii wanaijua vizuri hii mechanism pia waganga na wataalam ndio maana kupona kwake ni kwa ghafla tu na kuumwa kwake ni sekunde chache tu.

2. Sayansi ina wachukulia watu wenye majini kama wagonjwa wa akili, ni kweli kwa sababu dalili zote ni kama za wagonjwa wa akili, (mwisho wa sayansi)

Lakini inasemekana kuwa ili uweze kutabiri yajayo, kuona vitu visivyokuwepo, kumfahamu nje ndani mtu usiyemjua ni lazima upitie ktk hali ya ugonjwa wa akili ndio utaweza kufanya hayo yote,
Ushahidi mzuri ni mtu au mganga akipandisha mapepo huweza kuona kile unachokifikiria ktk akili yako kwa kufanya connection kama jinsi ambavyo bluetooth inavyo connect, hapo anakuwa kadukua mawasiliano ya fikra zako, kisha anaanza kukusoma na kukueleza A to Z na kuchomekea maneno kadhaa ya uongo ili umuamini na apige mpunga, hii connection hufanyika kupitia kiganja cha mkononi au paji lako la uso,

Sayansi inapoishia uchawi ndipo unapoanzia
Duh hapa nimegain kitu aseee
 
Back
Top Bottom