Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, kama unakumbuka mwaka 1997 Dr. Matunge aliita wandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa serikali na kuutangazia Umma kuwa anataka kuanzisha huduma ya Usafiri wa Anga kwa kutumia Ungo/sayansi ya asili. Akasema ataanza na ruti ya DAR-MWANZA etc. Kama sijakosea, waziri wa sayansi na technology alikuwa Dr. Pius Ngw'andu. Ilileta hisia tofauti kwa wananchi...
Duh pole sanaDunia inamambo ndugu walininyima raha na amani ila kilikuja kurudi lkn kwa tabu maana nilizimishwa kama masaa 6 watu nimekufa lkn niliamka tena na hapo nilivyotoka nje nikajikuta kivuli kipo. Uchawi upo mkuu
Ahsante nduguDuh pole sana
CC : Kiranga with due respectWakuu, si kweli hata kidogo kuwa unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia!!, kimsingi uchawi (hypnotism /mesmerism) ni sayansi, ni field moja kati ya field za sayansi, chukua mfano zama za Issack Newton hadi katika miaka ya 1900 hivi Newtonian mechanics ilikuwa inatawala sana lakini ilifika mahali kulingana na maendeleo ya sayansi duniani Newtonian mechanics ilishindwa kutanzua baadhi ya problems ndipo ikaja modern mechanics ambapo mambo mengi yakatanzuliwa na ugunduzi mkubwa ukafanyika lakini pia tukumbuke kuna mambo mengi leo hii bado ni nadharia tu kwa sababu sayansi ya leo bado haitoshi ku formulate ili kujua ukweli wake na hapa unakuja kuona mapungufu ya sayansi hii leo mfano, nini ni chanzo cha nguvu ya uvutano!!?, jibu lake lipo katika nadharia tu (Einstein general law of relativity ). Halikadhalika uchawi (hypnotism ) ni tawi moja la "elusive science" ambalo kulitanzua na kuliweka wazi watu wameshindwa kwa sababu hawako interested nalo, leo watu wako interested na mambo ya rocket,computer,machineries, nuclear science,nk mambo ambayo ni tangible.
Nadhani itafika muda "uchawi" utakuwa applicable pale ambapo sayansi ya leo itakaposhindwa kutanzua matatizo kama jinsi classical mechanics iliposhindwa na modern mechanics ikachukua nafasi. Hapa tunazungumzia uchawi wa kuleta manufaa (productive) sio ule wa kuua watu nk.
I like ur argumentWakuu, si kweli hata kidogo kuwa unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia!!, kimsingi uchawi (hypnotism /mesmerism) ni sayansi, ni field moja kati ya field za sayansi, chukua mfano zama za Issack Newton hadi katika miaka ya 1900 hivi Newtonian mechanics ilikuwa inatawala sana lakini ilifika mahali kulingana na maendeleo ya sayansi duniani Newtonian mechanics ilishindwa kutanzua baadhi ya problems ndipo ikaja modern mechanics ambapo mambo mengi yakatanzuliwa na ugunduzi mkubwa ukafanyika lakini pia tukumbuke kuna mambo mengi leo hii bado ni nadharia tu kwa sababu sayansi ya leo bado haitoshi ku formulate ili kujua ukweli wake na hapa unakuja kuona mapungufu ya sayansi hii leo mfano, nini ni chanzo cha nguvu ya uvutano!!?, jibu lake lipo katika nadharia tu (Einstein general law of relativity ). Halikadhalika uchawi (hypnotism ) ni tawi moja la "elusive science" ambalo kulitanzua na kuliweka wazi watu wameshindwa kwa sababu hawako interested nalo, leo watu wako interested na mambo ya rocket,computer,machineries, nuclear science,nk mambo ambayo ni tangible.
Nadhani itafika muda "uchawi" utakuwa applicable pale ambapo sayansi ya leo itakaposhindwa kutanzua matatizo kama jinsi classical mechanics iliposhindwa na modern mechanics ikachukua nafasi. Hapa tunazungumzia uchawi wa kuleta manufaa (productive) sio ule wa kuua watu nk.
hiyo link haifungui mbona,?
Hebu msome Mokaze post number #226..... Amejibu kwa weledi na ufafanuzi wenye maarifa mengiBro Mshana jr, hebu nisaidie hii tofauti. Je si kwamba uchawi unahusisha imani ya giza na hufanywa hadharani na faragha na dini nayo inahusisha imani ya nuru na pia hufanywa hadharani na faragha ? Na je sayansi si si ile hali ya kutafuta urahisi katika kurahisisha shughuli za binadamu za kila siku ? Na hapa binadamu anaisumbua akili ili kila muda unavokwenda anajitahidi kurahisisha shughuli zake kwa kutumia zana tofauti anazoboresha kila muda unavyoenda. kwa hiyo hapa binadamu anategemea ubongo wake na kwenye imani anategemea nguvu ilio nje yake kwa kujiunganisha nae kupitia sadaka. wadau mtanisahihisha
Hazikinzani hizi ni tafsiri tu za watu ndio zinaleta ukinzani... Ni sawa na shilingi huwezi kuitazama pande zote mbili kwa wakati mmoja, ukijaribu kufanya hivyo ndipo ukinzani unapokujaBro nimemsoma, ni kwamba nilihitaji kufahamu ni kwa nini basi hizi imani zinakinzana kuanzia kale. lakini sayansi hii ya kawaida inashirikiana au kutegemeana kwa ujumla wake ? mwongozo kidogo tafadhali
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.
Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.
Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.
Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.
Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.
Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.
Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.
Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.
Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.
A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital
B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu
C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika
D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.
E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.
Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..
Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....
Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.
Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
duh angalia usigeuzwe kobogo sio mtu poa huyoSawa BABU tangazo lako tume liona
Tulipokosea ni kuwasikiliza na kuyaachaHaya waliyofanywa yangefanywa na mzungu ingekuwa ni habari kubwa duniani na ya kuandikwa kwenye vitabu vya historia.... Lakini zinafinyangwa na kufichwa kwakuwa tu si mtu mweupe