Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Kama Binadamu ni kiumbe cha mwisho kuumbwa, viumbe waliomtangulia ni wapi hao?

Cc: Mshana jr hili umelitoa wapi?
 
Reactions: uth
Not everything is for everybody

Kufanya "uchawi" (hypnotism /mesmerism) kiwe kitu cha siri, ndipo mawazo ya watu, katika juhudi za kudadisi mambo huhitimisha kwamba "uchawi" ni jambo linalohusiana 100% na UOVU.

Tunahoji Kwanini liwe siri ikiwa ni jambo lenye manufaa kwa watu wote ( anayehitaji na asiyehitaji) anayetaka kujua au asiyetaka kujua!!?.
 
Reactions: uth
Hapana hata katika level za familia hata kitu kiwe na faida kwa familia nzima lakini kuna levels za wanafamilia kukijua na kukijua kwa kiasi gani
 
Reactions: uth
Hapana hata katika level za familia hata kitu kiwe na faida kwa familia nzima lakini kuna levels za wanafamilia kukijua na kukijua kwa kiasi gani

Kwa hiyo uchawi ni kama "mahusiano ya falagha ya wazazi" ambayo watoto hawapaswi kujua?!!.

Na utatambua vipi "mtoto na mkubwa" ni yupi katika suala ya uchawi ndani ya jamii pana kiasi hiki ?!
 
Ok nadhani bado hujanielewa vema
Popote duniani kuna kitu kinaitwa classified information wengine huita siri... Kwamba ni habari fulani kwa kundi fulani tuu...
Hata ndani ya makampuni na ofisi zetu si kila kitu kinajulikana na wote... Zaidi ukija kwenye forbidden education ama habari za Mason kuna ngazi za kujua mambo.. Inatakiwa ujue nini kwenye ngazi gani
 
Reactions: uth
Wakati hao wazungu wanagundua hayo yoote katika mazingira yao magumu...sisi tumegundua nini tukiwa huru kabisa na katika bara lenye rasilimali asili zoooote?

Wametuzidi akili, hilo ni KWELI na HAKIKA.

Tumeshalijadili sana hapa hilo.
 
Mkuu Mshana jr, kwakweli kila jibu lako linaibua maswali zaidi, umezungumzia juu ya "classified informations" hii huwa ni mahususi katika formal "organizations", kwa msingi huo kuna organizations za wachawi ambapo kuna hizo "classified infirmation", hebu niambie hizo organizations zipo wapi? (Mentioning just a few), na jinsi gani mtu anaweza kuzifikia na baadae kupata anachotaka ??!!.

This is just a matter of curiosity, tafadhali naomba univumilie ukizingatia kwamba, niliambiwa kuwa you have the third eye😁😁😁
 
. Security agency zote duniani
. Serikali zote duniani
. The masons wote
. Satanic wote
. makampuni mbalimbali duniani kote yanayomiliki brand zenye formulas
Nk
 
Reactions: uth
. Security agency zote duniani
. Serikali zote duniani
. The masons wote
. Satanic wote
. makampuni mbalimbali duniani kote yanayomiliki brand zenye formulas
Nk

Let me just simplifying it, are you in any one organization dealing with an occult science, be it hypnotism or whatever ?!!
 
Reactions: uth
Let me just simplifying it, are you in any one organization dealing with an occult science, be it hypnotism or whatever ?!!
Do you really think I can answer such a question in open forum Mokaze? If yes simply I can say NO...!!!
 
Reactions: uth
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…