Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Jibu Rahisi ni hili.Lazima likutoshee
Niwe muwazi tu, sielewi umenijibu kitu gani.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu Rahisi ni hili.Lazima likutoshee
Ndivyo ilimu hii ilivyo.Inahitaji uwe muwazi kwamba huelewi ili ueleweNiwe muwazi tu, sielewi umenijibu kitu gani.!!
Not everything is for everybody
Hapana hata katika level za familia hata kitu kiwe na faida kwa familia nzima lakini kuna levels za wanafamilia kukijua na kukijua kwa kiasi ganiKufanya "uchawi" (hypnotism /mesmerism) kiwe kitu cha siri, ndipo mawazo ya watu, katika juhudi za kudadisi mambo huhitimisha kwamba "uchawi" ni jambo linalohusiana 100% na UOVU.
Tunahoji Kwanini liwe siri ikiwa ni jambo lenye manufaa kwa watu wote ( anayehitaji na asiyehitaji) anayetaka kujua au asiyetaka kujua!!?.
Hapana hata katika level za familia hata kitu kiwe na faida kwa familia nzima lakini kuna levels za wanafamilia kukijua na kukijua kwa kiasi gani
Ok nadhani bado hujanielewa vemaKwa hiyo uchawi ni kama "mahusiano ya falagha ya wazazi" ambayo watoto hawapaswi kujua?!!.
Na utatambua vipi "mtoto na mkubwa" ni yupi katika suala ya uchawi ndani ya jamii pana kiasi hiki ?!
Kwenye Bible
OK, ila huwa najaribu tu kufikiria kwa sauti. Sometimes I do stand and think about some of the beliefs in a three dimensional aspect. Na sio vibaya kujiuliza kuhusu vitu, "Kwa nini kipo hivi na sio vile,?"....
Huwa i do question karibu kila kitu sio mambo ya imani tu pekee.
By the way ndo dunia ilvyo hatuwezi kuw wote tunaamini ktk kitu, malengo, mtazamo au imani moja. Utofauti ndo unaleta progress ktk maisha.....
Wengne wataamini Bundi ni ndege tu km wengne ispokuwa yeye ni "nocturnal bird" tu (huruka na kufanya mawindo yake wakt wa ucku).
Na wengne wataamini Bundi ni wa maajabu na superstition.
Utofauti kimtazamo kwny maisha ndo unaleta progress ktk ugunduzi wa mambo...
Hata pale tunaposemaga Wazungu wana akili, ila ukwel ni kwmba sio wote, sabb sio keel kwmb wazungu wote walgundua ndege, sio wote walgundua Umeme, Carbon, Hydrogen, Polonium, Atomic Energy, Transistor, Internet, Software, Genetics Engineering, Finance, Tetracycline, Dopamine etc..
Ok nadhani bado hujanielewa vema
Popote duniani kuna kitu kinaitwa classified information wengine huita siri... Kwamba ni habari fulani kwa kundi fulani tuu...
Hata ndani ya makampuni na ofisi zetu si kila kitu kinajulikana na wote... Zaidi ukija kwenye forbidden education ama habari za Mason kuna ngazi za kujua mambo.. Inatakiwa ujue nini kwenye ngazi gani
. Security agency zote dunianiMkuu Mshana jr, kwakweli kila jibu lako linaibua maswali zaidi, umezungumzia juu ya "classified informations" hii huwa ni mahususi katika formal "organizations", kwa msingi huo kuna organizations za wachawi ambapo kuna hizo "classified infirmation", hebu niambie hizo organizations zipo wapi? (Mentioning just a few), na jinsi gani mtu anaweza kuzifikia na baadae kupata anachotaka ??!!.
This is just a matter of curiosity, tafadhali naomba univumilie ukizingatia kwamba, niliambiwa kuwa you have the third eye[emoji16][emoji16][emoji16]
. Security agency zote duniani
. Serikali zote duniani
. The masons wote
. Satanic wote
. makampuni mbalimbali duniani kote yanayomiliki brand zenye formulas
Nk
unamaanisha ulimpiga pumbu pia? wewe ni nouuuumah.Sio makofi tu alikula na hii[emoji118] anahoji ulozi wangu yeye kama nani[emoji35] [emoji87] [emoji27] [emoji40]