Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Baba uko mguu kwa mguu na science hafifu za mwafrika. Kule upareni kuna milima ya kutoa kafara kafara ili uwe binadamu bora. Yet wapare ni shida tupu. Marafiki wa mashaka.

Are you also a participant of these awkward things?
 
Baba uko mguu kwa mguu na science hafifu za mwafrika. Kule upareni kuna milima ya kutoa kafara kafara ili uwe binadamu bora. Yet wapare ni shida tupu. Marafiki wa mashaka.

Are you also a participant of these awkward things?
You are disrespecting someone's culture for no proper reasons
 
wanaotumia Levitation wanasafir kwa nguvu zao hizo?
 
Reactions: uth
Shida ni kwamba hii elimu haikuandikwa popote nao hawakupenda kushare na watu wengine, walipozeeka na kufa waliondoka na ujuzi wao
Kuna ndugu zetu walikuwa wanafua vyuma wanatengeneza majembe na fyekeo lakini kule walikokuwa wanatengenezea ilikuwa mwiko kwa mtu asiyehusika kwenda
 

Safiiii!!! Waafrika sie bana na Dark Skin, Dark Continent, Darkness in almost each and everything.
Waafrika tuna imani za enzi za Stone Ages huko, mwafrika hakawii kukuambia Spiderman yupo kweli na ni real.. Hahahah!
Mwafrika atakuambia Chuma-Ulete ipo kweli, ukmuambia kw nn sasa anahagaika kufanya kazi badala ya kutafuta "chuma ulete" hapo anabaki kimya tu na kukujibu vitu ambvyo havina sense...
(Frankly speaking, chuma ulete ingekuwa kweli basiiii maduka, na Mawakala wa Airtel Money, M-Pesa, tigopesa etc. wangeshafunga Uwakala wao siku nyingi...
Mwafrika hata akiumwa tu atakuambia karogwa, wakt anasahau mwili unaundwa kwa seli (,body cells) zaidi ya billions huko hivo ni lazma tu kuna siku utaumwa tu, kutokana na sabb ya mazingira (mionzi, wadudu, barid, joto etc), chakula, uzee (aging process) etc. na sabb zngne za kibaiolojia..
Mwafrika hakawii kukuambia eti kuna dawa ukimpa mkeo basi akichepuka unakuta yeye na mchepuko wamegandana (wamenatiana) [emoji23] Weka dawa sana na bado km mke ni wa kuchepuka atachepuka tu bila kunatana wala nn.
(Kuna watu walshawahi kutengeneza Hii picha, wakala pesa za watu... Wakajdai wamenatiana kumbe ni picha tu walilipanga ili watu wamtafute huyo mtu alyewapa hyo dawa.. Wajinga wakaliwa pesa zao kihivo maana walianza kumtafuta mganga alyetengeneza hyo dawa ili awatengenezee na wao pia.. Akili Kumkichwa!!! Watu wakaliwa pesa!!)
Mara miezi michache ilyopita kuna yule jamaa alyeng'ang'aniwa na kiroba(kigunia) cha wizi begani, kumbe nalo lile lilikuwa ni picha tu vile vile limesukwa na watu, ili wale pesa za wajinga wanaoamini ktk hayo mambo, maana wengi walitaka nao wawekewe hyo dawa ili wakute wezi waliowaibia wamenata palepale walipoiba.. [emoji23]
Pia kuna kamchezo siku hizi ka kuwavalisha Machizi wa mtaani (mental retarded person) nguo km mganga na kuwapa ungo, alafu mtu mmoja anaanza kusema huyo chizi ni mchawi alkuwa kapaa kwa ungo ili ametungiliwa na kadondokea hapo.. Then anasema dawa kapewa na mtu flani.. Kumbe ni picha tu nalo maana akili Kumkichwa, Na wanapenda sana tumia mental retarded people (machizi) sabb wao huwa akil haziko poa na atamuuliza vitu atakuwa anajibu ndio..
Kuna jamaa mmoja alwahi kukusanya watu Mitaa ya Kinondoni akjdai ni mtaalam wa kukamata wachawi, kamkamata chizi mmoja kampaka majivu na kamvisha visha mavazi ya kiasili na vishanga shanga, manyoya ya kuku etc. afu anamuulza maswali anajibu, baada ya cku kadhaa, ikaja kugundulika kumbe ni picha tu lile ili ale pesa za wajinga... Maana mtu alyemtumia eti ndo mchawi kumbe kiuhalisia alkuwa ni mgonjwa wa akili na anatafutwa na ndugu zake kwa muda tu kwani altoroka)
[emoji23]
Waafrika hata kwny soccer tu watu tumejaza hizi imani, daaah!!! Wakt soka ni Kipaji, Mazoezi, Pesa, Mipango Imara,
Uongozi thabiti wa chama cha soka....watu wanasafiri na waganga na bado wanafungwa tu kla leo.
Watu wanaamini hata kufaulu shule ni mpk uende kw mganga.
[emoji23][emoji23]
 
Asante mkuu natamani Sana watu wawe na akili kama hizi ili tutoke kwenye wigi LA ujinga tulilovalishwa....huwa nachekaga sana nikisoma story za vita vya majimaji ili uone waafrica tunaamini vitu visivyodhaahir hao majamaa walidanganywa na mganga kuwa mkienda kupgana mkisema maji maji basi gobore inageuka kuwa maji mwishoe wakaenda kuchezea kichapo......uchawi hakuna nawashauri vijana wenzangu tutumie akili zetu katka kuleta maendeleo japo kdgo katka bara letu
..ndio maana suala LA frimason limemata sana Africa likihusisha nguvu za kichawi ifke mahali tujue standard ya mwanadamu alivyoumbwa ukomo wa kufnya japo nk:


Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe hao malaika ushawahi kuwaona?
 
Mkuu story za freemason ziko huko kwa wazungu sie huku tunazisikia sikia tu.
 
Kwa uandishi huu ni rahisi sana kuweza kufahamu kiwango cha uelewa na elimu ya mwandishi pamoja na umri na ufahamu wake kwenye mambo mbalimbali... Ukisoma Plato 'The college' unaweza kupata mwanga wa kile ninachomaanisha... Ila ukishupaza shingo na kujifanya mjuaji utazidi kujifunua ulivyo

Jr[emoji769]
 
Hakuna cha kwanza kuumbwa vyote vipo sawia nyuma ya pazia ni usingizini wengi mnaita (kiroho) ni anonymous mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…