Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi

Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...

Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..

Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....

Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....

Asubuhi njema!
Unapoishia uchawi, Mungu naye ndiyo anaanzia pale
 
Za promotion ukiweka moja ndogo unapewa mbili kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway kaka....nilifanikisha kwendas Kugoma kutafuta chimbuko la baba yangu, ni uzao wa Hassan Ndimanga...Kigoma yote inamjua pale...pia kumbe baba alijenga Sengerema, na mimi ndo mrithi wa pale, nyumba ya Kitangiri alipewa sista, anayenifuatia...jumla imenicost laki 8 kufanya hiyo Tour...ilibidi niende Kigoma, nirudi tena sengerema, halafu niende na Ibondo..ni kijiji hapo Sengerema mabpo ndo kuna wanaifahamu familia ya mzee....pia nikarudi Geita...kwa mganga wa ukoo...akawahoji huyu mtoto mlikuwa mmemficha wapi?? so akafanya yake...siku 2....kidogo nife...maana sio kwa mikorogo ile ya midawa na maubani sijui manini, mara niogeshwe, mara nichanjwe kichwa kizima...ilikuwa shida tupu...nipo Mwanza now bro.
 
Hapana Mungu ndie asili ya vyote uchawi na sayansi

Hana mwanzo, hana mwisho. However, anachukizwa na uchawi, kwa hiyo akitaka kuushughulikia, anaanzia pale unapioishia kwa sababu anajua kuwa pale atakapozanzia yeye, hakuna uchawi unaoweza kusogea pale
 
Ooh safi sana na asante sana kwa mrejesho wenye tashwishwi kubwa... Nimefurahi kusikia kuwa hatimaye umeipata asili yako
 
Anyway kaka....nilifanikisha kwendas Kugoma kutafuta chimbuko la baba yangu, ni uzao wa Hassan Ndimanga...Kigoma yote inamjua pale...pia kumbe baba alijenga Sengerema, na mimi ndo mrithi wa pale, nyumba ya Kitangiri alipewa sista, anayenifuatia...jumla imenicost laki 8 kufanya hiyo Tour...ilibidi niende Kigoma, nirudi tena sengerema, halafu niende na Ibondo..ni kijiji hapo Sengerema mabpo ndo kuna wanaifahamu familia ya mzee....pia nikarudi Geita...kwa mganga wa ukoo...akawahoji huyu mtoto mlikuwa mmemficha wapi?? so akafanya yake...siku 2....kidogo nife...maana sio kwa mikorogo ile ya midawa na maubani sijui manini, mara niogeshwe, mara nichanjwe kichwa kizima...ilikuwa shida tupu...nipo Mwanza now bro.
nadhan ushanisoma,.,....ile id yangu ingine🙂

pia nifundishe jinsi ya kuweka emoji kubwa kubwa ili tu asisiome content!!...aone ma emoji tuuu
 
  • Thanks
Reactions: uth
Hana mwanzo, hana mwisho. However, anachukizwa na uchawi, kwa hiyo akitaka kuushughulikia, anaanzia pale unapioishia kwa sababu anajua kuwa pale atakapozanzia yeye, hakuna uchawi unaoweza kusogea pale
Aaamen... Yeye ni Alpha tena ni Omega
 
  • Thanks
Reactions: uth
Hakuna ndugu yangu

Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja na mtu ninayemuamini, kwamba kuna mtu mmoja alifungua bucha na kabla ya mauzo ya nyama akaenda kwa "mganga" ili apewe dawa ya kuvuta wateja, sharti alilopewa ni lazima "amwage damu" na damu hiyo ichanganywe na vitu fulani avyoambiwa na mganga, sasa huyo bwana ama hakuelewa damu gani inatakiwa au alitaka kujua itatokea nini !!, yeye akachinja mbwa na akachukua damu kuichanganya na dawa husika akaenda kuweka buchani mahali alipoambiwa, loo kesho yake asubuhi alipokuja na nyama ili aanze biashara alikuta umati wa mbwa nje ya bucha kila mtu eneo lile alishangaa sana hali ile.

Hayo ndiyo mambo ya uganga na "uchawi" yana siri kubwa sana.😁😁😁
 
Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja na mtu ninayemuamini, kwamba kuna mtu mmoja alifungua bucha na kabla ya mauzo ya nyama akaenda kwa "mganga" ili apewe dawa ya kuvuta wateja, sharti alilopewa ni lazima "amwage damu" na damu hiyo ichanganywe na vitu fulani avyoambiwa na mganga, sasa huyo bwana ama hakuelewa damu gani inatakiwa au alitaka kujua itatokea nini !!, yeye akachinja mbwa na akachukua damu kuichanganya na dawa husika akaenda kuweka buchani mahali alipoambiwa, loo kesho yake asubuhi alipokuja na nyama ili aanze biashara alikuta umati wa mbwa nje ya bucha kila mtu eneo lile alishangaa sana hali ile.

Hayo ndiyo mambo ya uganga na "uchawi" yana siri kubwa sana.[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja na mtu ninayemuamini, kwamba kuna mtu mmoja alifungua bucha na kabla ya mauzo ya nyama akaenda kwa "mganga" ili apewe dawa ya kuvuta wateja, sharti alilopewa ni lazima "amwage damu" na damu hiyo ichanganywe na vitu fulani avyoambiwa na mganga, sasa huyo bwana ama hakuelewa damu gani inatakiwa au alitaka kujua itatokea nini !!, yeye akachinja mbwa na akachukua damu kuichanganya na dawa husika akaenda kuweka buchani mahali alipoambiwa, loo kesho yake asubuhi alipokuja na nyama ili aanze biashara alikuta umati wa mbwa nje ya bucha kila mtu eneo lile alishangaa sana hali ile.

Hayo ndiyo mambo ya uganga na "uchawi" yana siri kubwa sana.[emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahahahaha. Kwa hiyo alitakiwa auee mtuu. Dah aiseee.. Haha so ikawaje !
 
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi

Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...

Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..

Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....

Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....

Asubuhi njema!
na unapoishia uchawi ,ndio Mungu apoanzia,mfano kuning'iniza anga la mbingu,bila nguzo,pia uchawi hauwezi kuzuia jua lisichomoze au lisizame,kumfanya mtu aishi milele,asife nk
 
Ahahahahaha. Kwa hiyo alitakiwa auee mtuu. Dah aiseee.. Haha so ikawaje !

Ndiyo kulingana na masharti ilitakiwa aue mtu ili apate damu, na hapo ndipo siku zote mambo ya "uchawi" au "uganga" yanapofanywa kuwa SIRI.

Juu ya wale mbwa nilisahau kumuuliza kilichoendelea.
 
Back
Top Bottom