Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameniruhusu kama utaniruhusu nionane na weweAmekuruhusu nn eti mdaka chozi wa auntie
Sawa bebeeZitume.
Nitakuacha kesho, tuma kwanza zawadi.Umeniacha lini?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe haachiki!! Ninampango wa kumfanya yeye awe main alafu nimtafutie mdaka chozi.
Si zile za kupeana mkono kwa mkono lakini?Nitakuacha kesho, tuma kwanza zawadi.
Ile naomba vocha
Mwanaume unajitutumua unatuma unasubiri hata SMS tu ya ahsante. Dadeeeq hadi unaamua wewe ndo umcheki ile kumcheki unakuta
iko biz unatulia kidogo ile kumcheki tena unaskia
SAMAHANI MTEJA UNAYEMPIGIA ANAONGEA NA SIMU NYINGINE TAFADHALI SUBIRI
Mdaka chozi muhimu bebee wangu.Hahaha
Hayoo ndio maneno sasa!lakini hakuna haja tena ya mdaka chozi
Unapenda le superstarMoyo umefanyaje superstar?
Lini uliachika sasaUmeniacha lini?
Nawaza zile zawadi ulosema unanitumia ujueHahaha
Zawadi hua zinanoga sana mkishatunukiana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si zile za kupeana mkono kwa mkono lakini?
Eeenh unions halafu we mdaka chozi wa auntieAmeniruhusu kama utaniruhusu nionane na wewe
Si tulishakubaliana jinsi zitakufikia!Nawaza zile zawadi ulosema unanitumia ujue
BebeeMdaka chozi muhimu bebee wangu.
Hahaha hahahaSi tulishakubaliana jinsi zitakufikia!
Au tubadili namna?
We hujuiInakuwaje eti