Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Haha hahaaaa.. hawa mama zetu ndivyo walivyo jmn, ebu tujitahidi kuwavumilia hivyo hivyo
Ile naomba vocha
Mwanaume unajitutumua unatuma unasubiri hata SMS tu ya ahsante. Dadeeeq hadi unaamua wewe ndo umcheki ile kumcheki unakuta
iko biz unatulia kidogo ile kumcheki tena unaskia
SAMAHANI MTEJA UNAYEMPIGIA ANAONGEA NA SIMU NYINGINE TAFADHALI SUBIRI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe haachiki!! Ninampango wa kumfanya yeye awe main alafu nimtafutie mdaka chozi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo auntie popote utakapomuweka haachiki Sakayo uongoo
 
Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke
1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza
(haina mapozi)
2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.
(haina wivu)
3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua
(huwa bikira)
4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.
5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi
(hamu haiishi)
6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia!

*Mkuu bora kula bia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom