Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

Inategemea wapo wangapi na Wana silaha gani.Moja ya kanuni za usalama binafsi inasisitiza ya kwamba kamwe usimchukulie poa Mhalifu mwenye silaha,ana uwezekano wa asilimia 100 za kuitumia dhidi yako.Nadhani kutoa ushirikiano inabaki kama ndio chaguo sahihi.Ijali zaidi kesho yako na ya Wapendwa wako.Ingawa watacheka utakapokua unawahadithia jinsi walivyokutepetesha lakini ni tofauti kabisa na wakukute upo ICU ukiwa na mipira puani baada ya kuchomwa bisibisi tumboni na mpuuzi mmoja asiye na maisha.
 
Back
Top Bottom