Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

Hiyo mipango itakuwa imekushinda tu kutekeleza.

Hapo ulipo nani anazijua siri zako mpaka useme umeshindwa kupiga hatua sasabu watu wanazijua?
Hizi mentality umezitoa wapi🤣🤣
 
Mass surveillance
Kizazi hiki Cha akili ya elfu kumi kipande .. Siri hakuna kabisaa
 
Nguvu na uwezo wa taifa lolote duniani ni Siri. Yes Tz unayoiona leo imejengwa juu ya majabali wa siri wachache wamebaki na haya majabali ndio watafanya yao 2025. Hiyo nimechomekea tu.
Ushavujisha siri wataanza na wewe
 
👏👏👏umemaliza kila kitu.

Hii ndio tofauti ya Marekani, Israel na Iran.

Huku kwetu usiri woote ni kulinda mafisadi na watu wao tu.
 
Kama Taifa nilazima viongozi wajifunze siri yes neno moja tu linaweza kushusha uchumi wa taifa mpaka zero. Neno moja tu la kiongozi linaweza anzisha vita ambayo hakuna anaweza kuamin. Neno moja la siri laweza fanya dunia ikakukalia kooni usiamini.
Toa mfano wa neno kama lipi?
 
Neno Siri Lina uhusiano wowote na sehemu za siri
 
Umeandika upuuzi mtupu
Kwanza ni Mwanamke, alafu Mswahili, mbaya zaidi ana uwezo wa kawaida wa Akili ( na Hili linathibitishwa ma Safari yake ya Elimu ilojaa kuunga unga sana ).

Hiyo Siri itatunzwa Wapi???.
 
Taifa la mediocre, inasikitisha sana
 
Kwanza ni Mwanamke, alafu Mswahili, mbaya zaidi ana uwezo wa kawaida wa Akili ( na Hili linathibitishwa ma Safari yake ya Elimu ilojaa kuunga unga sana ).

Hiyo Siri itatunzwa Wapi???.
Pole sana, kiufupi ni kuwa UMEKWAMA....UNA STRESS!!
 
Hv ni kweli marekani hatishi wenzake?!!!!
Yale makambi ya jeshi anayojaribu kuyaweka kila pembe ya dunia sio vitisho kweli?!!!
 
Kilevi kikiisha njoo usome ulichoandika. Huezi elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…