Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

Kama Magufuli aliweza kuwa rais wa nchi hii, basi tuombe Mungu tu atusaidie
 
Ilikuwa siri operesheni ya Osma lakini hapa unaidadavua kama ulikuwepo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli hata mimi nimeishia kushangaa na kucheka.
Operesheni ya siri lakini yeye anaijua nje ndani!!
Hawa ndio wale Watanzania wa "unanijua mimi nani??".
 
Kweli hata mimi nimeishia kushangaa na kucheka.
Operesheni ya siri lakini yeye anaijua nje ndani!!
Hawa ndio wale Watanzania wa "unanijua mimi nani??".
Baada ya mission ya kuuwawa Kwa Osama kukamilika, CNN walieleza mission nzima ingawa baadhi hawakusema.
 
Kwamba hao majabari wachache wa Siri watafanya Yao 2025???

Tunza SIRI ndugu,!!!!!
 
Mbona kama Marekani wanajianika sana mambo yao Kwa like kinachoitwa demokrasia?
 
Kwanza ni Mwanamke, alafu Mswahili, mbaya zaidi ana uwezo wa kawaida wa Akili ( na Hili linathibitishwa ma Safari yake ya Elimu ilojaa kuunga unga sana ).

Hiyo Siri itatunzwa Wapi???.
Hata ukimdharau ndiyo ameshakuwa kiongozi utabaki na kijiba chako cha roho na husda itakayoendelea kukutafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…