Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

Labda unataka unile kimasikhara.

Hahaha[emoji3516][emoji1787][emoji13][emoji13]nimeandika hii meseji huku ninesimamisha ujue…Inabidi tuje tutekeleze hili jambo aisee…Mara moja tuu halafu kila mtu na Zake…Hakuna kurudia! Na tunaendelea kuheshimiana..na kusaidiana ktk mambo mengine tuu
Tutabaniana mpaka lini…
 
Kusimamisha sio shida. Misuli yako mwenyewe inasimama kwa picha tu ya profile muone kwanza.

That Gentleman njoo ujionee

Afu wewe Satoh Hirosh Unatakiwa uwe bouncer wangu sio kumvizia bae wangu ageuke unikule.

Njoo udeal na huyu
 
Hao ni mashemeji hao…
Tena nitawajali sanaaa mashemeji zangu haoo.
Hawana Neno dada yao akipata Mtu wa Kumoa kampani!
Ukiwa na Dada Mzuri hukosi shemeji makini..[emoji13][emoji6]
 
Hao ni mashemeji hao…
Tena nitawajali sanaaa mashemeji zangu haoo.
Hawana Neno dada yao akipata Mtu wa Kumoa kampani!
Ukiwa na Dada Mzuri hukosi shemeji makini..[emoji13][emoji6]
Ngoja waje shaurilo
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kwa mwanaume umempigia mke wa mtu unaanza na shikamoo dada, akijibu dada yako nani..
Ujue mambo shwari...

Akijibu marahaba mdogo wangu...
unazuga kuulizia jina tofauti... akisema umekosea number imeisha hiyo...

Ila ni vizuri mtulie binadamu wa siku hizi...
😁😁 shemela naona unatoa mwongozo....
 
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Principal Bachelors
 
Muda si Mrefu Kuchepuka itakuwa Rasmi,Nashauri Mama Aendelee Kukopa Tu! Wapiga kura wenyewe ndio sisi sasa...
 
Wasio olewa wanasumbua Sana tofauti na wake za watu.

Halafu wake za watu % kubwa wako safe Kwa swala la Magonjwa tofauti na ambao hawajaolewa ambao unakuta Wana msululu mrefu wa wanaume na hawanatulia. Mke wa mtu unakuta ni Mume wake pamoja na mwizi tu,Ko mwizi ana kuwa ana uhakika kuwa anae lala na mwanamke ni Mume wake pamoja na yeye tu.

Hapo ukutanane na mke wa mtu Mwenye akili anakushauri mkapime vipimo vyote kwanza then ni mwendo wa NYAMA Kwa NYAMA kikubwa ni kuwa mwangalifu na mimba,hata ikitokea kwa bahati mbaya Mume ana tunza huku Siri ikiendelea kati mwizi na mke wa mtu.Hapo ndo UTAKUTA wanaume wako ndani ya ndoa wanatunza watoto wakidhani ni damu Yao Kumbe wanatunza damu ya mwizi.
Mume wake anaweza kuwa na michepuko Zaidi ya wanne ambao wewe huwajui so ur idea is a crazy idea
 
Back
Top Bottom