Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

Labda unataka unile kimasikhara.

Hahaha[emoji3516][emoji1787][emoji13][emoji13]nimeandika hii meseji huku ninesimamisha ujue…Inabidi tuje tutekeleze hili jambo aisee…Mara moja tuu halafu kila mtu na Zake…Hakuna kurudia! Na tunaendelea kuheshimiana..na kusaidiana ktk mambo mengine tuu
Tutabaniana mpaka lini…
 
Kusimamisha sio shida. Misuli yako mwenyewe inasimama kwa picha tu ya profile muone kwanza.

That Gentleman njoo ujionee

Afu wewe Satoh Hirosh Unatakiwa uwe bouncer wangu sio kumvizia bae wangu ageuke unikule.

Njoo udeal na huyu
 
Hao ni mashemeji hao…
Tena nitawajali sanaaa mashemeji zangu haoo.
Hawana Neno dada yao akipata Mtu wa Kumoa kampani!
Ukiwa na Dada Mzuri hukosi shemeji makini..[emoji13][emoji6]
 
Hao ni mashemeji hao…
Tena nitawajali sanaaa mashemeji zangu haoo.
Hawana Neno dada yao akipata Mtu wa Kumoa kampani!
Ukiwa na Dada Mzuri hukosi shemeji makini..[emoji13][emoji6]
Ngoja waje shaurilo
 
😁😁 shemela naona unatoa mwongozo....
 
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Principal Bachelors
 
Muda si Mrefu Kuchepuka itakuwa Rasmi,Nashauri Mama Aendelee Kukopa Tu! Wapiga kura wenyewe ndio sisi sasa...
 
Mume wake anaweza kuwa na michepuko Zaidi ya wanne ambao wewe huwajui so ur idea is a crazy idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…