Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kichwa kichafu😂.Stroke😂.Magonjwa Mtambuka 😂.Halafu wote vinyonga vya kijani🍀🤸🤸🤸2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana.
Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu.
Binafsi nikiwa offline nawamiss watu kibao. Ila zaidi huwa nammiss @bbade
Wewe huwa unammiss nani zaidi?