Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

Tangu nijiunge hapa hakuna anayekumbukwa na mimi.......Huwa namiss zile stori za kujilipua ughaibuni.
 
Mashabiki wa Yanga huwa nawakumbuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…