Unapokuwa umefanikiwa sana kifedha kumbuka vyote vitakavyoanza kuja kwako ni kwa hisani ya fedha yako

Na kuna wanawake mnaweza kaa hata miezi 6 hajawahi kukutafuta. Siku mchongo wako ukitiki tu muamala ukaingia kwenye akaunti unashangaa nayeye ndio siku hiyo anakutafuta na kuanza kukulaumu kwanini siku hizi humtafuti amekumiss.
Hahahh
 
Sasa kama mwanaume sura na muonekano huna, dushe halieleweki. Mahaba hujui, unataka mtoto wa kike akupendee nini? Si ushukuru hata kakupendea hela zako nawe unakula mali safi.
Sio lazima kula mali safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…