Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ona huyu laki tu umeshang’aka ukiambiwa baby naomba niongezee 3m kwenye biashara si dunia nzima itajua[emoji28]
Haiwezi kutokea hio labda tuwe tumeshaumaliza mwendo
 
Kuna vidume wapuuzi sana, yes wapuuzi sana. Huwezi kuongea na mwanamke hadi utumie mipesa just kutongoza tu? Ni advantage kwa mwanamke though, lakini ni upuuzi kutumia millions of money just to win her.

Kuna lijamaa nalifaham lilituma 2m kwa dem just to get her attention, upumbavu was kiwango kikubwa huu, japo mwanamke anakuwa na advantage hapo...2m ya kuhongwa, hapo hata kuambiwa nataka mbususu yako bado hajaambiwa.
 
Mwanamke gani wa kibongo asikie mumewe kacheat asimfuate kumuuliza na rafiki aliyepeleka maneno akatajwa
 
Kuna vidume wapuuzi sana, yes wapuuzi sana. Huwezi kuongea na mwanamke hadi utumie mipesa just kutongoza tu? Ni advantage kwa mwanamke though, lakini ni upuuzi kutumia millions of money just to win her.

Kuna lijamaa nalifaham lilituma 2m kwa dem just to get her attention, upumbavu was kiwango kikubwa huu, japo mwanamke anakuwa na advantage hapo...2m ya kuhongwa, hapo hata kuambiwa nataka mbususu yako bado hajaambiwa.
Pesa inapunguza kujieleza,
Anajaa TU kwenye laini anakupa unachotaka[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga mzee trust me ni ujinga! Wakati huo kuna wazazi hujawajali kwa mda mrefu, una ndugu kibao unaweza kuwatupia japo kidogo...unafanya investment kwa mwanamke ambaye kesho ukifulia anakutukana..woooi..huu upare unanisaidia asee!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wakati wengine mkiombwa laki mnapiga block[emoji3][emoji3]
Laki.? Wakati mtu anakupigia mahesabu katumia 15k kwa mwanamke anauliza huyo mwanamke anampenda au anatumia tu pesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila wanaume wanapenda kuwapa pesa wanawake wanaowapenda basi tu vipato vinawaangusha
 
Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana.

Sasa kuna mazee mafisi yenye hela zao yalimtamani sana yule dada. Hawakuwa na access nae kwani hakuwa na mambo mengi. Tatizo alikua mtangazaji wa TV, wengi wakivutiwa kuangalia vipindi vyake hasa wanaume kutokana na uzuri wake na wala si yaliyomo kwenye kipindi.

Mzee mmoja alifanikiwa kumpata mdada aliyesoma na yule mke wa mtu beauty queen. Alimuahidi kumlipa milioni 5 akimuunganisha na beauty queen yule. Kwa shida za mjini dada yule alianza urafiki wa kumtembelea ofisini hadi nyumbani. Beauty Queen alikua decent mno, pakumuanza alishindwa.

Siku alipomwambia mume wako ana cheat, dada aliishiwa nguvu. Alijifanya rafiki bora wa kutoa ushauri na alichomekea na yeye atafute wa kumliwaza kumbe mtu akikuwa stand by.

Masikini mume wa yule dada alikua mhangaikaji katika biashara ili nyumbani mambo yakae sawa. Anasafiri kutafuta nafaka na bidhaa nyingine mikoani. Beauty Queen akianza penzi na Mzee Mwenye ukwasi wake mjini. Siku ya kwanza tu kukutana hotelini mzee alimpa milioni 20 za shopping ili apendeze zaidi.

Hakuna linalojificha chini ya jua, mume wake alikuja kujua na alipoachwa na mume wake Mzee mwenye ukwasi alimwambia scandal ya ndoa yake kuvunjika hataki imhusishe yeye itamharibia image yake na yeye ni mwanasiasa mashuhuri.

Beauty Queen aligundua shost alimdanganya, kwa mume wake yeye ndiye alikua malkia wa moyo wake.
Ndio ujue sasa hivi vislay Queens vya JF navyopakaziwa navigegeda ni uzishi tu.

Wewe ndio chaguo langu la moyo, soulmate wa milele.

Nakupenda milele
 
Moral of the story.....kila mbususu ina bei yake, vidume tusake hela tuwagegede warembo
 
Laki.? Wakati mtu anakupigia mahesabu katumia 15k kwa mwanamke anauliza huyo mwanamke anampenda au anatumia tu pesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila wanaume wanapenda kuwapa pesa wanawake wanaowapenda basi tu vipato vinawaangusha
Kama wewe ulishindwa mwenyewe kula hela zangu za pensheni. Acha aIfaidi mjukiu wangu mtiifu kipenzi Joannah
 
Back
Top Bottom