Haiwezi kutokea hio labda tuwe tumeshaumaliza mwendo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ona huyu laki tu umeshang’aka ukiambiwa baby naomba niongezee 3m kwenye biashara si dunia nzima itajua[emoji28]
Ni kastory tu bwashee "huwa tunahonga hadi milioni 100 😍😍[emoji3][emoji3][emoji3]wakati wengine mkiombwa laki mnapiga block[emoji3][emoji3]
Atakuwa Nani huyu🤔🤔🤔🤔🤔🤔Mtangazaji wa tivii ambaye ni mlimbwende na kachepuka na mwanasiasa mashuhuri... 🤔🤔🤔
@Joannah [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Atakuwa Nani huyu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Joannah sio Mwanahabari sasa😂😂😂@Joannah [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
wanaharibu thamani halisi ya soko...latra waingilie katiKuna watu wananunua papuchi ghali aisee milioni 20.
Pesa inapunguza kujieleza,Kuna vidume wapuuzi sana, yes wapuuzi sana. Huwezi kuongea na mwanamke hadi utumie mipesa just kutongoza tu? Ni advantage kwa mwanamke though, lakini ni upuuzi kutumia millions of money just to win her.
Kuna lijamaa nalifaham lilituma 2m kwa dem just to get her attention, upumbavu was kiwango kikubwa huu, japo mwanamke anakuwa na advantage hapo...2m ya kuhongwa, hapo hata kuambiwa nataka mbususu yako bado hajaambiwa.
Ni ujinga mzee trust me ni ujinga! Wakati huo kuna wazazi hujawajali kwa mda mrefu, una ndugu kibao unaweza kuwatupia japo kidogo...unafanya investment kwa mwanamke ambaye kesho ukifulia anakutukana..woooi..huu upare unanisaidia asee!!Pesa inapunguza kujieleza,
Anajaa TU kwenye laini anakupa unachotaka[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati yake[emoji23][emoji23][emoji23]Joannah sio Mwanahabari sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunafungua na nyuzi kabisa [emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂Bahati yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Laki.? Wakati mtu anakupigia mahesabu katumia 15k kwa mwanamke anauliza huyo mwanamke anampenda au anatumia tu pesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila wanaume wanapenda kuwapa pesa wanawake wanaowapenda basi tu vipato vinawaangusha[emoji3][emoji3][emoji3]wakati wengine mkiombwa laki mnapiga block[emoji3][emoji3]
Ndio ujue sasa hivi vislay Queens vya JF navyopakaziwa navigegeda ni uzishi tu.Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana.
Sasa kuna mazee mafisi yenye hela zao yalimtamani sana yule dada. Hawakuwa na access nae kwani hakuwa na mambo mengi. Tatizo alikua mtangazaji wa TV, wengi wakivutiwa kuangalia vipindi vyake hasa wanaume kutokana na uzuri wake na wala si yaliyomo kwenye kipindi.
Mzee mmoja alifanikiwa kumpata mdada aliyesoma na yule mke wa mtu beauty queen. Alimuahidi kumlipa milioni 5 akimuunganisha na beauty queen yule. Kwa shida za mjini dada yule alianza urafiki wa kumtembelea ofisini hadi nyumbani. Beauty Queen alikua decent mno, pakumuanza alishindwa.
Siku alipomwambia mume wako ana cheat, dada aliishiwa nguvu. Alijifanya rafiki bora wa kutoa ushauri na alichomekea na yeye atafute wa kumliwaza kumbe mtu akikuwa stand by.
Masikini mume wa yule dada alikua mhangaikaji katika biashara ili nyumbani mambo yakae sawa. Anasafiri kutafuta nafaka na bidhaa nyingine mikoani. Beauty Queen akianza penzi na Mzee Mwenye ukwasi wake mjini. Siku ya kwanza tu kukutana hotelini mzee alimpa milioni 20 za shopping ili apendeze zaidi.
Hakuna linalojificha chini ya jua, mume wake alikuja kujua na alipoachwa na mume wake Mzee mwenye ukwasi alimwambia scandal ya ndoa yake kuvunjika hataki imhusishe yeye itamharibia image yake na yeye ni mwanasiasa mashuhuri.
Beauty Queen aligundua shost alimdanganya, kwa mume wake yeye ndiye alikua malkia wa moyo wake.
Moral of the story.....kila mbususu ina bei yake, vidume tusake hela tuwagegede waremboKuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana.
Sasa kuna mazee mafisi yenye hela zao yalimtamani sana yule dada. Hawakuwa na access nae kwani hakuwa na mambo mengi. Tatizo alikua mtangazaji wa TV, wengi wakivutiwa kuangalia vipindi vyake hasa wanaume kutokana na uzuri wake na wala si yaliyomo kwenye kipindi.
Mzee mmoja alifanikiwa kumpata mdada aliyesoma na yule mke wa mtu beauty queen. Alimuahidi kumlipa milioni 5 akimuunganisha na beauty queen yule. Kwa shida za mjini dada yule alianza urafiki wa kumtembelea ofisini hadi nyumbani. Beauty Queen alikua decent mno, pakumuanza alishindwa.
Siku alipomwambia mume wako ana cheat, dada aliishiwa nguvu. Alijifanya rafiki bora wa kutoa ushauri na alichomekea na yeye atafute wa kumliwaza kumbe mtu akikuwa stand by.
Masikini mume wa yule dada alikua mhangaikaji katika biashara ili nyumbani mambo yakae sawa. Anasafiri kutafuta nafaka na bidhaa nyingine mikoani. Beauty Queen akianza penzi na Mzee Mwenye ukwasi wake mjini. Siku ya kwanza tu kukutana hotelini mzee alimpa milioni 20 za shopping ili apendeze zaidi.
Hakuna linalojificha chini ya jua, mume wake alikuja kujua na alipoachwa na mume wake Mzee mwenye ukwasi alimwambia scandal ya ndoa yake kuvunjika hataki imhusishe yeye itamharibia image yake na yeye ni mwanasiasa mashuhuri.
Beauty Queen aligundua shost alimdanganya, kwa mume wake yeye ndiye alikua malkia wa moyo wake.
Kama wewe ulishindwa mwenyewe kula hela zangu za pensheni. Acha aIfaidi mjukiu wangu mtiifu kipenzi JoannahLaki.? Wakati mtu anakupigia mahesabu katumia 15k kwa mwanamke anauliza huyo mwanamke anampenda au anatumia tu pesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila wanaume wanapenda kuwapa pesa wanawake wanaowapenda basi tu vipato vinawaangusha
Naunga mkono hoja. Tukikosa hela tupambane na mabaamediMoral of the story.....kila mbususu ina bei yake, vidume tusake hela tuwagegede warembo