Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

 
Mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda
 
Kila mmoja katika kuhongwa ana thamani yake, wako wa buku, laki, mamilioni n.k Yaelekea huyo mtoto alikuwa ni kifaa sana
 
Akisema mjukuu no amri kwa babu. Hebu fanya mpango apatikane bibi mpya. Hii hela ya pensheni siwezi kuimaliza mwenyewe
Unataka baadae uje useme pesa ya kustaafu Ina majini😂😂😂shauri yako babu
 
Akisema mjukuu no amri kwa babu. Hebu fanya mpango apatikane bibi mpya. Hii hela ya pensheni siwezi kuimaliza mwenyewe
Counterfeit will never be original brand.
 
Unampenda kweli babayo?au unamtakia mstuko wa Moyo?
Huyu babu yangu sio wakuja,amepitia mishale mingi kinyama

Wewe mkubalie tu,hakuna jambo utafanya litamstua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…