Pre GE2025 Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni sawa na kuipaisha CHADEMA bila kujua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🀣🀣πŸ’₯πŸ’₯ shida huko majukwwani wanaweza kuropoka ile kauli mbiu...peopleee power!!! maana nikama jinamizi
Wewe fikiria akina Halima Mdee wamefukuzwa chamani LAKINI kwa Mapenzi yao binafsi kwa Chama bado wako Bungeni wakikiwakilisha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa bwashee upendo chadema lia lia leo kapata bwana mpya anamkadia wa zamani kweli hawaaminiki!
 
Ccm tumeandaa chawa badala ya fikra mbadala!

Hakuna vijana wenye hoja za kuendana na upinzani Kwa Sasa zaidi ya kumsifu Mama Ili ugali uende tumboni!!

Acha watumike hao hao ndio wenye hoja!!
 
Hiyo ndio siasa, bwana!!Mbona Lissu ametamba na udhaifu wa muungano kwa, wiki tatu na CDM wakashangilia kwa nguvu sana.

Peneza kuweka wazi madhaifu ya CDM, kelele kila upande. Kule USA Trump anamwambia Biden, kwamba ni crooked na kwamba tarehe 27 June, 2024 ,kwenye mdaharo kupitia, CNN na ABC atamuonyesha crooked Biden Kaz. Sasa Peneza kuongea kupitia Cloud tu, kelele nyingi kutoka mabondeni. Tatizo ni nn?
 
UVCCM ya zamani ilikuwa na data zote za Vyama vya Upinzani na walizitumia kwa weledi faraghani

Yule Polepole alikuja na monopoly yake na kuiamini bavicha sirini

Ngoja niishie hapo 🐼
 
Ni uhuru wake kikatiba kuhama chama kama hakitimizi matarajio yake.Lema alihama TLP,Lissu alihama NCCR mageuzi ,Marehemu Maalim Sefu alihama CUF licha ya kukiasisi chama hicho.Marehemu Lowassa alihama CCM na kuwa mgombea wa UKAWA kwanini iwe nonga kwa Upendo?
Amehojiwa anajibu aliyoulizwa.Kama anasema uongo wajitokeze waliosemwa na kukanusha.
 
Unawaza kizamani sana kama mifano Yako ilivyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwakweli !
Wenye uwezo wa kupambana na Lissu kwa hoja tumebaki kama wasikilizaji na watazamaji ! πŸ™πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…