joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Demu wangu anapenda sana kuvaa nguo za vitenge so zawadi ninazo mpa mara nyingi ni vitenge, sasa sijui vina maana gani labda MTALAMUNYA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha akawe fundi cherehaniDemu wangu anapenda sana kuvaa nguo za vitenge so zawadi ninazo mpa mara nyingi ni vitenge, sasa sijui vina maana gani labda MTALAMUNYA.
Sawa mkuu unajitahidi kuushusha uzi lkn haya yapo sana nawe ni shahidiMoja ya uzi usiomake sense kwa huu mwaka
Yaani unatarajia ntakutajia umri wa wangu hapa mkuu hebu kua serious basiMkuu una umri gani?
Labda unaweka pesa mfukoni zinajikunja kunja sana!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwahio kwa mfano mie birthday yangu nilipewa wallet ina maana sina pesa au? [emoji28][emoji28][emoji28]
Haha haha acheni kupotosha ukipokea zawadi jua kabisa kuna sababu, naamini hata wewe unapotarajia kumpatia mtu yoyote zawadi hua haukurupuki utakaa nakutafakari nini kitamfaa mhusika.Wanaloga mchana kweupe tena
Ina maana una kawaida ya kutonyoa msitu unasababisha ashindwe kula koni kwa harufu jasho la msituHivi mama la mama akinitunuku 'Gillette shaver' inamaana sinyoagi ama??? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pia inaweza kua sababuLabda unaweka pesa mfukoni zinajikunja kunja sana!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
HahahahahaLabda unaweka pesa mfukoni zinajikunja kunja sana!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mada ishamgeuka mleta mada japo naona amegangamara kuitetea [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahio kwa mfano mie birthday yangu nilipewa wallet ina maana sina pesa au? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kulingana na mleta mada we ni masikiniUkipewa pesa?
Hata cherehani haijui, yy ni mpenzi wa kuvaa nguo za vitenge.Unamaanisha akawe fundi cherehani
Hakuna ukweli wowote...
Kwa hiyo ukimpa mpenzi wako zawadi ya pesa, umemuhisi yeye ni masikini au?
Sasa unaweza kwenda kumuhonga pesa mtu mwenye pesaHakuna ukweli wowote...
Kwa hiyo ukimpa mpenzi wako zawadi ya pesa, umemuhisi yeye ni masikini au?