Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

Mnafanya maisha yaonekane magumu huo ni uchawi aisee
Wachawi wenzako hawa hapa
Screenshot_20210711-191129.jpg
 
Kwahio kwa mfano mie birthday yangu nilipewa wallet ina maana sina pesa au? [emoji28][emoji28][emoji28]

Wallet![emoji15][emoji848]

Hapo umepewa chuma-ulete mkuu na haitokaa ijae atakuwa anavuna tu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna ukweli mchungu hapa, wengi wanaukwepa kwa kujitekenya tu…. zawadi mara nyingi zinakuwa na tafsiri sio ilimradi tu.
 
Mimi sitoi zawadi ya kudumu, najua fedheha ikiwa itatumika mbele ya kidume mwingine…. zawadi zangu ni outings za misosi tu na vileo.
 
Kuna ukweli mchungu hapa, wengi wanaukwepa kwa kujitekenya tu…. zawadi mara nyingi zinakuwa na tafsiri sio ilimradi tu.
Mkuu watu wana act maisha eti wanakufa Kijerumani ila najua watajirekebisha nakua smart
 
Mkuu watu wana act maisha eti wanakufa Kijerumani ila najua watajirekebisha nakua smart

Wanakaza mafuvu kwa kuwa mioyo yao inajua, wengi ni wahanga.

Zawadi nyingi huendana na uhitaji, pengine huwa tunadadisi (kama sio kuuliza) kabisa ili kujua ni ipi inahitajika.
 
Back
Top Bottom