Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

Kwahio kwa mfano mie birthday yangu nilipewa wallet ina maana sina pesa au? [emoji28][emoji28][emoji28]

Wallet![emoji15][emoji848]

Hapo umepewa chuma-ulete mkuu na haitokaa ijae atakuwa anavuna tu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna ukweli mchungu hapa, wengi wanaukwepa kwa kujitekenya tuโ€ฆ. zawadi mara nyingi zinakuwa na tafsiri sio ilimradi tu.
 
Mimi sitoi zawadi ya kudumu, najua fedheha ikiwa itatumika mbele ya kidume mwingineโ€ฆ. zawadi zangu ni outings za misosi tu na vileo.
 
Kuna ukweli mchungu hapa, wengi wanaukwepa kwa kujitekenya tuโ€ฆ. zawadi mara nyingi zinakuwa na tafsiri sio ilimradi tu.
Mkuu watu wana act maisha eti wanakufa Kijerumani ila najua watajirekebisha nakua smart
 
Mkuu watu wana act maisha eti wanakufa Kijerumani ila najua watajirekebisha nakua smart

Wanakaza mafuvu kwa kuwa mioyo yao inajua, wengi ni wahanga.

Zawadi nyingi huendana na uhitaji, pengine huwa tunadadisi (kama sio kuuliza) kabisa ili kujua ni ipi inahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ