BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua umeibiwa mkuu kumbe umekula matunda kimasikhara?? [emoji23][emoji23][emoji23] Hongera sana asee
Mwana amekula threesome yake safi kabsa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua umeibiwa mkuu kumbe umekula matunda kimasikhara?? [emoji23][emoji23][emoji23] Hongera sana asee
Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri.
Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja. Nikachukua mawasiliano na kuwatafuta, mpaka nilipozungumza na dalali mmoja, ambaye alinishauri tuonane jumapili ya wiki iliyopita ili aweze kunitembeza.
Basi ilipotimu jumapili mchana nikawa nimempigia, akawa amanielekeza nimkute katika moja ya vilabu vya pombe za kienyeji zinazopatikana mtaani kwake nikaona ngoja niende.
Nilijiweka simple kabisa kimavazi na nikachukua tu bodaboda kama usafiri, mpaka eneo la tukio.
Nilipofika aliponielekeza nikampigia simu, akaniambia niingie ndani tu maana anamalizia then tutoke yeye ana usafiri wa pikipiki kwa hiyo itakuwa kitu kirahisi tu kufanyika.
Basi nikaingia ndani, na kukuta kundi la watu wakiwa waume kwa wake wakinywa na kubadilishana mawazo, wengi wao kwa harakaharaka wakiwa ni vijana wenye umri wa miaka 30 mwishoni na wengi wao wakiwa ni wenye miaka 55+.
Basi nikasalaimia na kupewa siti katika moja ya makochi yaliyokuwapo pale. Baada ya kukaa tu, mmoja wa wazee akanitembezea chibuku (kitochi) iliyokuwa na pombe, nikataka kukataa lakini nikaona siyo kesi ngoja niunge tela.
Baada ya kunywa ile pombe kwa muda kidogo nilichangamka na kujisikia vizuri sana, nikaagiza tuongezewe wote wenye uhitaji wa pombe kwa muda huo (Maana chibuku ni 1000 tu). Basi Mmama aliyekuwa anauza pombe mwenye umri kama wa miaka 60 hivi akashauri tununue na pombe kali tuchanganye, itakuwa inanoga zaidi, basi nikatoa ten pale kvant kubwa ikaagizwa.
Ilipofika akawa anachanganya kwenye sado, anatumiminia na yeye akiendelea kunywa. Hapo tulikuwa watu kama sita hivi tunaokunywa huo mchanganyiko.
Baada ya lisaa hivi dalali akaniambia anatoka kidogo kwa ahadi ya kuwahi kurudi baada ya muda mchache. Mimi nikaendelea na kinywaji ambacho kilikuwa kimeanza kunikolea. Nimekuja kuangalia saa, imefika saa moja, kumbe muda umeenda, hapo watu wengi walikuwa wameshaondoka kwa muda huo na tumebaki watano tu, wanawake wakiwa watatu wanaume tukiwa wawili. Nikapiga macho kwenye kvant ilikuwa imebaki nusu nikaichukua nikaanza kunywa kavu. Na wale wanawake walikuwa wamekwisha lewa kabisa wapo busy na kucheza muziki, wakawa wanakuja wanakunywa na kuendelea kucheza.
Sasa sielewi ilikuja kuwaje tena,nashtuka saa saba za usiku, nipo kitandani katikati ya wanawake wawili wazee (maana hawa ni wabibi kabisa mmoja akiwa ni yule Mama mwenye biashara) waliopitiwa usingizi. Kuchungulia ndani ya shuka tupo uchi kabisa, na dalili zinaonesha niliwashughulikia. Nikajilaumu sana maana ni muda mrefu nilikuwa sijanywa pombe na pia kulala na watu wazima kiasi kile, na baada ya kufikiri nikaona hapa nitoroke tu. Nikavaa haraka haraka nikatoka kwa kufungua mlango wa mbele, ambapo niliwakuta watu wakiwa wanakunywa, sikumbuki kama niliwasalimia maana nilikuwa resi naikimbia aibu.
Aisee sikuwa sawa kwa siku chache zilizopita. Na yule dalali aliishia kunipigia jumatatu asubuhi na kutoa sababu za uongo na kweli, kiukweli nimechukia sana ingawa nimejiapiza kutofanya kazi na watu wa aina hii tena.
Basi eleza nani alikuvua suruali?? ushapasuliwa yai wewe. Kifupi si riziki tena. Alafu unasema ulienda kutafuta kiwanja? inawezekanaje mpaka leo hii hujitambui,unaishi kwa kufuata upepo. Kwamba ungekuta dalali anabwia nawe kufuata njia hiyo ili mfanane. Nina wasiwasi na jinsi ulivopata hiyo hela ya kununua kiwanja. All in all hongera kwa ujasiri wa kuja kuandika hapa japo hujaonyesha maelezo. Ungenipa nafasi ya kukuhoji hapo kuna maswali zaidi ya mia ambayo hayana majibuUnaonekana una experience nzuri ya kuliwa, lakini nikukumbushe si kila mtu ana tabia za kupigwa miti akilewa kama wewe.
Nami nakubaliana na wewe huyu jamaa ni upuuzi kuliko. Yawezekana ni mwalimu wa shule ya msingi huyu. Hawa ndo mara nyingi wakipangwa huko vijijini wakikuta maeneo ya walevi wanakuaga walevi kuliko wenyeji. Alafu anakuja na utetezi wa kijinga eti nilitaka kufanana na wenyeji. Alafu ameajiriwa, kazi tunayo Tanzania.Mbona wewe ni mpuuzi kuliko huyo dalali? Yani nikiambiwa nichague wa kufanya naye biasharaka Kati yako na dalali, nitamchagua dalali!
Alisikika motivational speaker akiongea kwa jazba.Nami nakubaliana na wewe huyu jamaa ni upuuzi kuliko. Yawezekana ni mwalimu wa shule ya msingi huyu. Hawa ndo mara nyingi wakipangwa huko vijijini wakikuta maeneo ya walevi wanakuaga walevi kuliko wenyeji. Alafu anakuja na utetezi wa kijinga eti nilitaka kufanana na wenyeji. Alafu ameajiriwa, kazi tunayo Tanzania.
Hawa ndo wale wanaostaafu wakipata mafao wanapeleka hela kwa waganga ili zizae.
Nimecheka sana aisee!Pombe siyo chai kwa kweli.Ukajikuta na "magrandmaza" wako kwenye shuka moja kitandani mkiwa watupu?Siongezi neno.Subhanallah!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri.
Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja. Nikachukua mawasiliano na kuwatafuta, mpaka nilipozungumza na dalali mmoja, ambaye alinishauri tuonane jumapili ya wiki iliyopita ili aweze kunitembeza.
Basi ilipotimu jumapili mchana nikawa nimempigia, akawa amanielekeza nimkute katika moja ya vilabu vya pombe za kienyeji zinazopatikana mtaani kwake nikaona ngoja niende.
Nilijiweka simple kabisa kimavazi na nikachukua tu bodaboda kama usafiri, mpaka eneo la tukio.
Nilipofika aliponielekeza nikampigia simu, akaniambia niingie ndani tu maana anamalizia then tutoke yeye ana usafiri wa pikipiki kwa hiyo itakuwa kitu kirahisi tu kufanyika.
Basi nikaingia ndani, na kukuta kundi la watu wakiwa waume kwa wake wakinywa na kubadilishana mawazo, wengi wao kwa harakaharaka wakiwa ni vijana wenye umri wa miaka 30 mwishoni na wengi wao wakiwa ni wenye miaka 55+.
Basi nikasalaimia na kupewa siti katika moja ya makochi yaliyokuwapo pale. Baada ya kukaa tu, mmoja wa wazee akanitembezea chibuku (kitochi) iliyokuwa na pombe, nikataka kukataa lakini nikaona siyo kesi ngoja niunge tela.
Baada ya kunywa ile pombe kwa muda kidogo nilichangamka na kujisikia vizuri sana, nikaagiza tuongezewe wote wenye uhitaji wa pombe kwa muda huo (Maana chibuku ni 1000 tu). Basi Mmama aliyekuwa anauza pombe mwenye umri kama wa miaka 60 hivi akashauri tununue na pombe kali tuchanganye, itakuwa inanoga zaidi, basi nikatoa ten pale kvant kubwa ikaagizwa.
Ilipofika akawa anachanganya kwenye sado, anatumiminia na yeye akiendelea kunywa. Hapo tulikuwa watu kama sita hivi tunaokunywa huo mchanganyiko.
Baada ya lisaa hivi dalali akaniambia anatoka kidogo kwa ahadi ya kuwahi kurudi baada ya muda mchache. Mimi nikaendelea na kinywaji ambacho kilikuwa kimeanza kunikolea. Nimekuja kuangalia saa, imefika saa moja, kumbe muda umeenda, hapo watu wengi walikuwa wameshaondoka kwa muda huo na tumebaki watano tu, wanawake wakiwa watatu wanaume tukiwa wawili. Nikapiga macho kwenye kvant ilikuwa imebaki nusu nikaichukua nikaanza kunywa kavu. Na wale wanawake walikuwa wamekwisha lewa kabisa wapo busy na kucheza muziki, wakawa wanakuja wanakunywa na kuendelea kucheza.
Sasa sielewi ilikuja kuwaje tena,nashtuka saa saba za usiku, nipo kitandani katikati ya wanawake wawili wazee (maana hawa ni wabibi kabisa mmoja akiwa ni yule Mama mwenye biashara) waliopitiwa usingizi. Kuchungulia ndani ya shuka tupo uchi kabisa, na dalili zinaonesha niliwashughulikia. Nikajilaumu sana maana ni muda mrefu nilikuwa sijanywa pombe na pia kulala na watu wazima kiasi kile, na baada ya kufikiri nikaona hapa nitoroke tu. Nikavaa haraka haraka nikatoka kwa kufungua mlango wa mbele, ambapo niliwakuta watu wakiwa wanakunywa, sikumbuki kama niliwasalimia maana nilikuwa resi naikimbia aibu.
Aisee sikuwa sawa kwa siku chache zilizopita. Na yule dalali aliishia kunipigia jumatatu asubuhi na kutoa sababu za uongo na kweli, kiukweli nimechukia sana ingawa nimejiapiza kutofanya kazi na watu wa aina hii tena.
Ww mwenyewe kichwa cha kuku tu, hivi mm leo uninyweshe chibuku ? Kweli labda uniue kwanza, lakini ndio nina ratiba yangu situmii chochote zaidi ya kile kilicho kwenye ratba yangu. Ww hujui nn unataka kwa wakati gani . Anza kujiheshimu kwanza. Yote kwa yote pole na asante kwa story nzuri yenye mafunzoNipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri.
Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja. Nikachukua mawasiliano na kuwatafuta, mpaka nilipozungumza na dalali mmoja, ambaye alinishauri tuonane jumapili ya wiki iliyopita ili aweze kunitembeza.
Basi ilipotimu jumapili mchana nikawa nimempigia, akawa amanielekeza nimkute katika moja ya vilabu vya pombe za kienyeji zinazopatikana mtaani kwake nikaona ngoja niende.
Nilijiweka simple kabisa kimavazi na nikachukua tu bodaboda kama usafiri, mpaka eneo la tukio.
Nilipofika aliponielekeza nikampigia simu, akaniambia niingie ndani tu maana anamalizia then tutoke yeye ana usafiri wa pikipiki kwa hiyo itakuwa kitu kirahisi tu kufanyika.
Basi nikaingia ndani, na kukuta kundi la watu wakiwa waume kwa wake wakinywa na kubadilishana mawazo, wengi wao kwa harakaharaka wakiwa ni vijana wenye umri wa miaka 30 mwishoni na wengi wao wakiwa ni wenye miaka 55+.
Basi nikasalaimia na kupewa siti katika moja ya makochi yaliyokuwapo pale. Baada ya kukaa tu, mmoja wa wazee akanitembezea chibuku (kitochi) iliyokuwa na pombe, nikataka kukataa lakini nikaona siyo kesi ngoja niunge tela.
Baada ya kunywa ile pombe kwa muda kidogo nilichangamka na kujisikia vizuri sana, nikaagiza tuongezewe wote wenye uhitaji wa pombe kwa muda huo (Maana chibuku ni 1000 tu). Basi Mmama aliyekuwa anauza pombe mwenye umri kama wa miaka 60 hivi akashauri tununue na pombe kali tuchanganye, itakuwa inanoga zaidi, basi nikatoa ten pale kvant kubwa ikaagizwa.
Ilipofika akawa anachanganya kwenye sado, anatumiminia na yeye akiendelea kunywa. Hapo tulikuwa watu kama sita hivi tunaokunywa huo mchanganyiko.
Baada ya lisaa hivi dalali akaniambia anatoka kidogo kwa ahadi ya kuwahi kurudi baada ya muda mchache. Mimi nikaendelea na kinywaji ambacho kilikuwa kimeanza kunikolea. Nimekuja kuangalia saa, imefika saa moja, kumbe muda umeenda, hapo watu wengi walikuwa wameshaondoka kwa muda huo na tumebaki watano tu, wanawake wakiwa watatu wanaume tukiwa wawili. Nikapiga macho kwenye kvant ilikuwa imebaki nusu nikaichukua nikaanza kunywa kavu. Na wale wanawake walikuwa wamekwisha lewa kabisa wapo busy na kucheza muziki, wakawa wanakuja wanakunywa na kuendelea kucheza.
Sasa sielewi ilikuja kuwaje tena,nashtuka saa saba za usiku, nipo kitandani katikati ya wanawake wawili wazee (maana hawa ni wabibi kabisa mmoja akiwa ni yule Mama mwenye biashara) waliopitiwa usingizi. Kuchungulia ndani ya shuka tupo uchi kabisa, na dalili zinaonesha niliwashughulikia. Nikajilaumu sana maana ni muda mrefu nilikuwa sijanywa pombe na pia kulala na watu wazima kiasi kile, na baada ya kufikiri nikaona hapa nitoroke tu. Nikavaa haraka haraka nikatoka kwa kufungua mlango wa mbele, ambapo niliwakuta watu wakiwa wanakunywa, sikumbuki kama niliwasalimia maana nilikuwa resi naikimbia aibu.
Aisee sikuwa sawa kwa siku chache zilizopita. Na yule dalali aliishia kunipigia jumatatu asubuhi na kutoa sababu za uongo na kweli, kiukweli nimechukia sana ingawa nimejiapiza kutofanya kazi na watu wa aina hii tena.
Tena awaombe msamaha maana dalali alikuwa sawa tu ni yeye na ugwadu wake kwa wazee.Unatuonea tu madalali
Tatizo Kvant hapo ka ulifakamia ya kutosha hukumbuki kitu dadeki [emoji28][emoji28]Niliblackout ndugu yangu, hata kumbukumbu sina yaani kama vile muda huo sikuwepo duniani.
Unatuonea tu madalali