Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

Nenda baharini ukaoge mara 7 utoe gundu.
La sivyo mambo yako yatakuwa ya kizeekizee!
 
Hah mijini vilabu vya pombe bado vipo? Nimekumbuka vya kule kijijiji kwetu singida.

Mleta mada ungekuwa ke, ungekua katika risk ya kubakwa mara kwa mara, unaonekana huna uwezo wa kujisimamia.
 
Wengi tuko hivyo, hatuishi kwa bajeti hata kidogo. Mtu yupo na mishe zake, hana hata sababu za kunywa pombe, amejikalia hapo anaanza kuingia gharama zisizo kwenye hesabu zake.
 
Ilishawahi kusemwa..kwa tafsiri isiyo rasmi kwamba' pombe/kilevi (k)imewazamisha watu wengi kuliko wale waliozamishwa na maji ya baharini/ziwani" mwisho wa kunukuu
 
Haya ndio madhara ya kukosa misimamo mkuu, misimamo ndio silaha ya maisha na ukiwa nayo wewe unageuka unstoppable force of nature hakuna kitu kitashindikana maishani.
Kitu kama haujakiweka kwenye mipango yako basi hukifanyi na haukifanyi kweli hata iweje.

Kwangu binafsi exceptional ni kama nikikutana na mtoto mzuri mbichi kwa bahati mbaya na akajilengesha mwenyewe. Zaidi ya hapo misimamo ni applicable kila sehemu ya maisha yangu.
 
Tatizo sio wewe wala Dalali, tatizo ni K VANT.

Kunywa pombe zote ila epuka sana pombe Kali, zitakutia aibu!.
 
MKUU....dalali hana kosa kabisa..... bado najiuliza.....hata kama ni kujichanganya......ndo uamke ktkt ya wamama.....na unasema uliwakula??? hukujitambua!!!! ukaamka ukachoropoka kwa aibu......hivi ungekuta umekamuliwa manii......ungekuja kutuelezea hapa ukimsakama DALALI..........KATUNGE tena uongo wa kipuuzi...
 
Mimi nimezoea nikitoka ofisini ni kush kidogo, hayo ndio maisha yangu, sanasana nisiposmoke ntakuwa busy na mke wangu kuzungumza na watoto na kuwasaidia mambo ya darasani.
 
Nenda ukapige PEP japo siku zimepita. Hiyo ni ngoma umepata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…