comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu.
Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku bongo kwenye njaa unataka uishi kama upo saudia? Yani mtu anajikuta muarabu kwenye ardhi ya muafrika.
Acheni hizo mnachaguaje kazi njaa zitawaua mnaacha pesa kwasababu ya maneno tuu ya waarabu ya kubumba bumba.