xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
kwel kabisa bsc in chemistry ina tatizo gan mbona wa2 wanaidis sana
ina ajira nyingi 2 sanasana kwenye hizi wilaya mpyampya zinazoanziswa,,wanachukuliwa sana kwa sasa
Wakuu natafuta chuo nina point 28 je nitapata mnisaidie wakuu
Acha ulimbukeni ww,,kozi gani imeandikwa ya kike na nyingine ya kiume,,
procurement wazee wa 10%
Baed je ?
naona imekuuma mbabaa! By the way jikazeee utatoka tuu
kuhusu chuo utapata, hebu kacheki pale, eagle wings college, the amazon college, datastar college, zoom college, greenbird college..! So ni ww tuu na ela yakoo..! Point zako zinakuruhusu.! Over
Dogo wacha dharau na uhakika 100% wewe ni first year ambae unatarajia kuanza chuo kama ulikua hujui..sociology kwenye NGO ina matter sana na inayotoa watu..na hiyo public administration ina uwanja mpana mpaka U-HRM..tatizo wabongo mna waza jina la kozi nakati katika degree utakayo some kuna courses kibao ambazo..zinaweza kukutoa katika life...ila ni first year usie jua hata kitaa baada ya kumaliza degree kukoje...overr...!!!bora procurement lingine linasoma socialogy au public administration..!
jamaa kama ka spik samthing ila sasa tuxome wote educashen?
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!