xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
kwel kabisa bsc in chemistry ina tatizo gan mbona wa2 wanaidis sana
Hakuna anaeidisi hiyo kitu,ni tamu hata zaidi ya unavyofikiria hasa kwa kipindi hiki ambacho kuna utitiri wa viwanda vipya...by the way waliobobea huko ni wachache mno wakati waajiri ni wengi mno..