Ndo maana nchi yetu ni vigumu kuendelea,kwanza mtu analazimisha kusoma kitu ili apate kuajiriwa badala ya kujiajiri,mtu ana talent fulani analazimisha kusoma masomo eti ya kiume, nimesomo na watu wengi pale Kibaha O LEVELwalikuwa na one za 7,wakiwa na A za masomo ya sayansi na arts wengine walichukua ECA,HGL nk,na leo ni wanasheria wazuri sana,na wahasibu wazuri sana,tatizo ni wengi wakiona eti vile wamefauru yote hukimbilia sayansi kama MD,Engineering waonekane wakiume ukija kwenye performance ya kazi hovyo kabisa,mtu anatoka jasho tu kwenye operation wakati ni daktari bingwa anAzidiwa na AMO,mhandisi naye anzidiwa na fundi mchundo,NI BORA KUSOMA KULINGANA NA TALENT YAKO MAFANIKIO HUVUTWA NA HIYO TALENT ULIYO NAYO NA SI VINGINEVYO.Jifunzeni kwa wenzetu wazungu katoto tu kanakwambia mimi nasoma niwe polisi,ukisema hivyo Bongo utatolewa macho.