tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!
unaijua procurement au umeamua kuropoka tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!
Baed je ?
Accountancy ndo mpango mzima
jamani msipende kudanganyana labda kwa kuwa sisi tumekuwa gari la mkaa kwa sasa , masomo ni masomo tu kesho huijui , inabidi uombe mungu sana na uwe na imani na unalofanya mungu atakuinua , ni wangapi leo hii wamesoma na wana maisha magumu? ni wengi , na kuna wengine misuko suko ndiyo imefanya hata wawaajiri hao wasomi , mimi huwa nina imani moja ya kipuuzi , ukimuona kijana yuko shule/chuo anapata misukosuko mwisho wake huwa ni mzuri sana kuliko wasiopata misukosukovijana wengi wanao jiunga na vyuo wanasoma kozi kwa mkumbo bila kuangalia hali za familia zao.eg. m2 anasoma kozi hajui hata soko la ajira katk koz hzo matokeo yake wanakosa hata sehemu za kufanya field. koz nyingine ina bd usome kama kwenu kuna kampun au ngos.
Mfano.!?
Ualimu haukubaliki ni heri usande kitaa miaka 5 bila ajira kuliko ualimu.
utakunywa sana chai na bagia.!
Kweli imani yako ni ya kipuuzi
Vp kuhusu BACHELOR OF EDUCATION IN SPECIAL NEEDS?
kila kazi inakubalika inategemea na malengo.... Kaka yangu kafanya engineering miaka minne analipwa laki 6, dada yangu kafanya education miaka mitatu analipwa laki 5.... Unadhani kunakuwa na tofauti kubwa sana ya hali ya maisha kati ya wawili hawa?