Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukiangalia historia ya south africa na leo walipo ni ushaidi tosha jinsi walivyofanyiwa ndio wamefikia pale kama walivyo akili zao na maisha yao ya ajabu.
Ukienda USA kuna tabia za watu weusi wa kule unaweza kusema sio mwafrika wakati muafrica sababu waliishi vizazi vyao kwa kufanyiwa mambo ya ajabu leo ndio wako vile.
Sasa kwa nchi yetu wanazani kuwafanya wananchi kuwa hivi ndio kubaki madarakani ,kama wakiweza basi wasitalajie kuwa wananchi wenye msaada kwa taifa.