kwaiyo kama nikituma email yangu haimfikii yeye mwenyewe kwenye computer yake ya kazi?wakuu wa taasisi wana ofisi.
hiyo email yako itatua ofisi yake,kama kuna la muhimu yeye pekee kukusaidia atajulishwa,kama ni hitaji la kawaida la taasisini kwake utajibiwa wapi ukawasilishe shida yako.
Mkuu vipi unataka kuchongea mtu nini ππkwaiyo kama nikituma email yangu haimfikii yeye mwenyewe kwenye computer yake ya kazi?
Huwezi jua! Labda anataka kumshtaki Mshua wake kwa DG baada ya kumnyima hela ya ile nyumba aliyouza kipindi kile. πMkuu vipi unataka kuchongea mtu nini ππ