Unapotumia imani kwenye Benki kusema hakuna Riba, unaendeshaje hiyo benki?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu.

Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja.

Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
 
Ndugu zetu waislam au hata Wakrislam tunaomba maelezo
 
Japokuwa mimi ni mkristo lakini ni kama nawaelewa hawa jamaa kwenye mambo yao ya fedha.. hili suala linatofautishika ni kama vile tendo la kujamiiana ukifanya kabla ya ndoa linaitwa ngono na ni haramu, ukifanya baada ya ndoa linaitwa tendo la ndoa na ni halali

Hata kwenye benki benki inapofanya miamala inatarajiwa irudi na ongezeka, sasa kuna namna hiyo miamala inavyofanyika ongezeko linaitwa riba na kuna namna ikifanyika linaitwa faida. Kwa mujibu wa waislamu riba ni haramu na faida ni halali.
 
Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu.

Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja.

Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
Mbona rahisi tu kuendesha bank bila ya riba ....msicho jua kuhusu Riba inayo katazwa kidini ni nini ? Mfano nikikukopesha sh 20000 kwa makubaliano ya kuliba sh20000 baada ya mwezi basi riba ni haramu ndani ya huo muda wa makubaliano ...muda ukipita riba inakuwa halali ila inakuwa kama faini ya kukiuka makubaliano ....hapo tunaona kama kuna aina 2 za Riba
1)Riba ya kukopa
2) na Riba ya faini (hii aijulikani kama riba tunasema faini tu )kwa sababu ni malipo yanayo tokana na wewe mkopaji kushindwa kutimiza makubaliano ya mkopo ...nikama zamani hata kwenye dini zote za uislamu na uisrael mtu akishindwa kulipa deni anaweza hata kuwa sababu 7a kufanya mtumwa ....na Riba ni hivyo hivyo ...riba haramu ni ile ya ndani ya makubaliano ya mkopo ila makubaliano yakivuka hiyo ni faini hivyo RIBA YA FAIN NI HARALI HATA KATIKA UISLAMU...FAINI KWA KOSA SIYO KITU HARAMU .
 
Mtaendesha benk hewa sasa mwisho wa siku.
 
Tumia akili mfano wewe ukawa unakopesha mkopo mtaani ya sh laki moja moja kwa mwezi hakuna riba baada ya hapo ukivuka mwezi umevunja makubaliano faini ni asilimia 5% ya mkopo kila mwezi unao pitisha ....wewe uoni ni jambo jema maana mkopaji mwenyewe ndiyo ujiingiza kwenye faini mfano wa riba kwa kuchelewa kulipa deni.
 
Ukopeshe alafu usubirie mtu kuzidisha mda.Akili mgando
 
Lengo la mikopo mema ni kujali watu unao wakopesha wawe na maisha bora ....sisi waafrica kwa kuwa ni wapumbavu tunajali Riba kuliko kuinua maisha wa wananchi ...wananchi wakiwa na uchumi mkubwa ni faida kwa taifa....
 
Lengo la mikopo mema ni kujali watu unao wakopesha wawe na maisha bora ....sisi waafrica kwa kuwa ni wapumbavu tunajali Riba kuliko kuinua maisha ya wananchi ...wananchi wakiwa na uchumi mkubwa ni faida kwa taifa....
 
Kuna mambo mengine kama wanajizungusha tu.

Benki zote hutegemea riba kwenye pesa ya mteja.

Sasa ukisema hakuna riba itakuwaje?
Hao ni matapeli wa imani,riba ipo sema wameibumbabumba na kuipa jina la faida,usenge mtupu.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Hao ni matapeli wa imani,riba ipo sema wameibumbabumba na kuipa jina la faida,usenge mtupu.
Kweli kabisa maana uwezi kuendesha biashara ya pesa bila faida,eti ukasubiria sijui mtu kupitiliza ndio unaweka riba.

Hiyo benk utaendeshaje hapo kuna wafanyakazi,umeme,server na n.k
 
Lengo la mikopo mema ni kujali watu unao wakopesha wawe na maisha bora ....sisi waafrica kwa kuwa ni wapumbavu tunajali Riba kuliko kuinua maisha wa wananchi ...wananchi wakiwa na uchumi mkubwa ni faida kwa taifa....
Naomba kuuliza, ikitokea nchi kama Iran inayoendeshwa kwa sharia law, ikaikopesha Tanzania, je Tanzania watalipa hilo deni bila riba endapo tu limekuwa cleared ndani ya muda wa kurejesha?
 
Kweli kabisa maana uwezi kuendesha biashara ya pesa bila faida,eti ukasubiria sijui mtu kupitiliza ndio unaweka riba.

Hiyo benk utaendeshaje hapo kuna wafanyakazi,umeme,server na n.k
Vipi kuhusu bank charges? Zinakuwepo au hazipo?
 
Tumia akili mfano wewe ukawa unakopesha mkopo mtaani ya sh laki moja moja kwa mwezi hakuna riba baada ya hapo ukivuka mwezi umevunja makubaliano faini ni asilimia 5% ya mkopo kila mwezi unao pitisha ....wewe uoni ni jambo jema maana mkopaji mwenyewe ndiyo ujiingiza kwenye faini mfano wa riba kwa kuchelewa kulipa deni.
Wakilipa ndani ya muda itakuwa vipi?
 
Wakilipa ndani ya muda itakuwa vipi?
Bank zinawekeza kwenye hisa , majengo ....mahotel ..apartment...migodi nk bank za namna hiyo zinakuwaga tajiri sana na kupata utajiri mkubwa kwa sababu ni lazima wawekeze wao wenyewe...hivyo zinakuwa benki zenye mali nyingi ....
 
Japokuwa mimi ni mkristo lakini ni kama nawaelewa hawa jamaa kwenye mambo yao ya fedha.. hili suala linatofautishika ni kama vile tendo la kujamiiana ukifanya kabla ya ndoa linaitwa ngono na ni haramu, ukifanya baada ya ndoa linaitwa tendo la ndoa na ni halali

Hata kwenye benki benki inapofanya miamala inatarajiwa irudi na ongezeka, sasa kuna namna hiyo miamala inavyofanyika ongezeko linaitwa riba na kuna namna ikifanyika linaitwa faida. Kwa mujibu wa waislamu riba ni haramu na faida ni halali.
Sasa unakataa kuchukua pesa ya mkopo au bank kwasasabu ya riba unaona haramu halafu huyo huyo anakunywa pombe ,anakula mademu hovyo ,anakula kitimoto sasa ndiyo anafanya kuchagua dhambi?
 
Back
Top Bottom