Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
NarudishaKatika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!??
Binafsi huwa narudisha
Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
Hakuna maelezo aliyowapa maana alikuwa ni mzazi wanguMwenye nyumba alitoa maelezo gani baada ya nyinyi kushangaa makato? Ila muuza LUKU mwezi huo alikula bonge ya hasara.
Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!??
Binafsi huwa narudisha
Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
Mwenye duka ndiye mwenyekosa kwasababu. Anaufahamu ukweliKuna mwamba alienda dukani kununua kitu akarudishiwa chenji. Sasa kwa vile jamaa alikuwa na stress kwa haraka haraka akajua mwenye duka kamzidishia chenji, hivyo akarudisha hela nusu kwa mwenye duka akimwambia kuwa amemzidishia. Mwenye duka nae hakukataa akapokea chap chap na kuzirudisha ndani ya droo la hela.
Mwamba ameenda kufika mbele ndo akili zinamrudia kuwa hela aliyokuwa nayo ni nusu. So ikabidi arudi kwa mwenye duka ili amrudishie zile hela alizodai kuwa kamzidishia. Cha ajabu alivyofika kule mwenye duka kagoma kumpa zile hela, eti chenji aliyomrudishia ilikuwa ni sawa. Jamaa kwa hasira kaondoka huku akimtukana muuza duka kuwa mzulumati. Sasa hapo nani anastahili lawama? Jamaa wema umemponza.
Ndio maisha Hayo mm sirudishagi Kuna siku nilienda kwa wakala kueka buk mbili nibetie maana bum lilikua limeisha akaweka buk 20 Sasa scenario hiyo unarudishaje hela ....take it ukifika muda wa kurudisha utarudisha tu
Sasa Mkuu niambiye mtu amekuzidishia elfu kumi unapeleka wapy hiyo au kama ni zaidi kumbuka sadaka s lazima ukatoe kanisani/masjid ata kurudisha ni fadhilaUaminifu ni mtaji japo Kuna mzungu aliwai SEMA you will die poorly Aki remarks mama mmoja baada ya kumrudishia wallet yake aliyo idondosha 😊😊😊
Ndio mkuu, siku zote ukifanya wema usitegemee kurudishiwa wema tu. Sometimes wema pia hulipwa kwa ubaya.tenda wema uende zako mkuu, usitegemee malipo
Kuondoka na pesa isiyo yako huku ukijua ni dalili ya ufukara uliopiliza na kutostaarabika.Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!??
Binafsi huwa narudisha
Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
Upo kama mimi huwa nafurahia sana lakini ukitaka kusepa nayo Ile roho waga inaumia ndani kwa ndani najiuliza kama ndo biashara ingekuwa yanguHuwa narudisha na sio mara moja kuzidishiwa hela hii imekuwa kama kawaida hata nikisaulika na konda nitahakikisha hela yake anaipata na endapo gari lake litaondoka. Niheri nikawapa wale wanao omba msaada barabarani.
Tena baada ya kurudisha huwa napata amani ya pekee sana moyoni mwangu.
Nilipokuwa sina utashi na uelewa wa kina wa mambo yaletayo faraja na utulivu ndani ya moyo niliweza kufanya hivo ila tangu nianze kutambua mambo kwa namna ambavyo yapo na yanatakiwa kuwa niliacha kabisa.Up
Upo kama mimi huwa nafurahia sana lakini ukitaka kusepa nayo Ile roho waga inaumia ndani kwa ndani najiuliza kama ndo biashara ingekuwa yangu
😹😹😹 Jana ulikuwa unasisitiza kumbe na huku ulishanichoma..!