Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huogopi dhulma?😂😹😹😹 Jana ulikuwa unasisitiza kumbe na huku ulishanichoma..!
Sibadilishi wala sifuti maelezo, niliyosema ndio yale yale “SIRUDISHII” 🤣🤣
Kwani nimekaba 😹😹Huogopi dhulma?😂
Nimecheka sanaMwaka 2009 nilitumwa umeme Wa LUKU kipindi hiki umeme ulikuwa unanunuliwa Tanesco tu
Baada ya kupewa elfu tano nikatoa buku kwa ajili ya kununulia Peni na rula sikumuambia MTU .
So ile elfu nne nikaenda nayo kununua umeme
Kufika pale Tanesco yule jamaa aliniwekea umeme wa laki nne
Sasa umeme ulipomaliza muda mrefu bila kukatika watu hawakua wanajua .
Then mwenye nyumba akawa anachukua hela za umeme Kama kawaida huku umeme ukiendelea kuwepo
Kimbembe umeme ulipoisha Tanesco walianza kukata hela yao kila tukinunua .
ticha mpumbavuMpaka konda nimeshawahi kumrudishia.
Kuna kisa kimoja nikishawahi kusema hapa.
Kuna teacher tunajuana aliazima laini yangu ya voda na modem ili atumie.
Kwa kuwa laini haikuwa na salio nikamwambia akaweka MPESA.
Nikaona anarudi ana uso fulani hivi akasema hebu braza tuongee pembeni kwanza, nikasema nini! Akasema dogo kuzidisha pesa kaweka 20,000 badala ya 2,000 kwa hiyo tugawane. Nikasema sio vizuri kwa sababu dogo mwenyewe ni mwajiriwa tu pale itakuwa hasara kwake.
Teacher akamaindi akasema shauri yako, tutakufa masikini.
Kuja tajiri flan tunafanya naye biashara sasa alitakiwa kufanya malipo ya tsh laki8 na 50.Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!??
Binafsi huwa narudisha
Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana