Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Asante sana Hassan
 
35 years na mke wangu, na alikuwa na tabia za hovyo mpaka tukatengana for 3 good years, sasa kila mmoja wetu kabadilika na kuwa sambamba na mwenzake.
Hongera sana, lakini tunarudi kule kule kwenye hoja yangu ya mwanzo, ukubwani mtu huwa anabadilika kwa ajili ya maslahi fulani, anaamua kujizuia tu na siyo kwamba anakuwa ameachana na tabia zake za hovyo.
 
Ndugu mdau,
suala la ustahimilivu na subra ni la lazima kwenye mahusiano au ndoa yoyote ile. In fact hakunaga mahusiano yasiyo kua na changamoto ikiwa ni pamoja na kuchokana. Na dawa ya hilo ni ustahimilivu na subra.

Na kwa maoni yangu,
hali hiyo hua ni mapito muhimu zaidi sana katika kufanya mahusiano au ndoa kua imara zaidi, ya heshima zaidi, yenye furaha na amani zaidi kadiri siku zinavyosonga hususani baada ya kuvuka hali hiyo.

Mapenzi sio excitement za kila siku bali ni ule utofauti wa ladha za nyakati tofauti tofauti za shida na raha.

usikate tamaa,
usiogope wala kusita kuanzisha mahusiano mengine.
Daima nasisitiza kua, ni muhimu sana kubadili changamoto tunazokumbana nazo kua fursa muhimu sana ya kukufanya uwe makini zaidi na bora zaidi kuelekea katika mahusiano mengine πŸ’
 
Asante sana kwa ushauri mzuri. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…