ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Tokea ulivyosema unanipa ๐๐Nakupa shemeji yangu ๐ ๐
Tokea ulivyosema unanipa ๐๐Nakupa shemeji yangu ๐ ๐
Nitayafanyia KAZI maoni yako.Hakuna anaemvumilia mwenzake. Mpo pamoja kwa sababu wote mlishindwa kupata machaguo yenu ya kwanza. Wewe umekosa mwanaume tajiri ndio maana upo nae. Yeye amekosa hela za kuwa na mwanamke wa ndoto zake ndio maana yupo nawe. Wote mnavumiliana.
Kama ushakua bored na mahusiano yako, wewe yavunje tu sio kuja mtandaoni kutafuta wa kukuunga mkono.
Ngoja tuanze kujipanga ili likitangazwa tuwe wa mwanzo mwanzo kuliwania.๐ ๐ ๐ ๐
Nitatangaza muda sio mrefu
Kama wangekuwa wanapatikana kirahisi hivyo, tungekuwa na vitambi.Nitaanza kukucheki wewe.
Halafu ndo nije mtandaoni ๐
Never change aiseeNi bora uwe single na ubaki na upweke wako, kuliko kuwa na mtu halafu bado uendelee kujisikia upweke.
People don't change, they just get worse.
Kumbe wajua!Unataka Cha kufutia simu ๐
Ewaaa nipo nae uku nasikikizia michongo kwa pisi moja hivi nikikqmilisha basi atakua hakua na bahati na mimiKwa nini unajitesa?
Nasimamia hapo
Namshukuru Mungu tuHongera sana Galaxy hayo ni mafanikio makubwa sana.
AmenMdumu Mkimpendeza Mungu
Makebo Malaini nikiyatazama tu naiona kabisa sintotapeliwa na mapenziHiyo ni dhambi ujue wewe palac ๐
Hiyo pis Ina nini ambacho uliyenae hana.