Ndio. Hii hapa👇Gharama tena 😝
Hiyo mistari siilewi jamaniNdio. Hii hapa👇
MATHAYO 11
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Hii mistari ndio siri ya Upendo, Furaha na Amani ya kweli kwenye maisha ya Mwanadamu!Hiyo mistari siilewi jamani
Kuna Mambo siyo ya kuyatafuta. Unatakiwa ukae kwenye mkondo yakutiririkie😀Naendelea kujifunza mdogo mdogo
Si kweli. Mbona nyuzi za humu unatiririka nazo?😀Nachokaga kusoma mimi
Eeeenh si ndioHii ndo nzuri hii
Hii imetuliaNi bora uwe single na ubaki na upweke wako, kuliko kuwa na mtu halafu bado uendelee kujisikia upweke.
People don't change, they just get worse.