Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Mimi ni mkoloni mix mchaguz wa vitu hivyo inampa mama watoto shida,, afu nshamwambia akae kimjn mjn mambo ya kukaa kama watu wa sitini na moja huko nop,

Inabidi nimchagulie mpk nguo daaah bado sana
Ila unaonekana unampenda sana.
 
Mpaka atakapochoka yeye

Ila anaonekana anamlengo wa mda mrefu sana.! na nahisi kabla hajatimiza nitakua nishakufa wakati yeye bado anapambana 🤭
Usijitabirie hivo jamani
 
Back
Top Bottom