Mimi baba yake ndo nilimchagulia huyo mke. Akiachana naye sitamtambua kama mtoto wangu.Kwa sababu ndo chaguo lake 😜
Naam,sijutii kumtumaini Mungu kwa moyo wangu wote. Ndio maana amenipa Mke ambaye haniishi 'hamu' wala 'utamu'.Ushauri mzuri sana huu
Hapo kwenye haishi hamu wala utamu ndo nimepapenda 😜Naam,sijutii kumtumaini Mungu kwa moyo wangu wote. Ndio maana amenipa Mke ambaye haniishi 'hamu' wala 'utamu'.
Huwa natamani kuwafundisha watu siri hii lakini wengi wana masikio yasiyosikia hivyo huwa naamua kumyuti zangu kimyaaa!😀
Sasa kama tukibaliana kukutana sehemu ww hauwezi kujilipia hata buku ya boda huo si msiba wajameni au?Single inachosha sana.
Kwamba hakuna rangi ataacha kuona si ndio? 😂Wa hivi Bora aniambie ukweli maana atajuta 😜
Tuanze hapo kwenye kukubaliana😅Sasa kama tukibaliana kukutana sehemu ww hauwezi kujilipia hata buku ya boda huo si msiba wajameni au?
hapo ndo shida ilipoWewe umeishajua unataka andaa kibunda Cha maana kitakachonifanya nijisikie malkia😜
Nakuwa sijakuita mimi 😅hapo ndo shida ilipo
tunatakana, kwani we huna nye.ge?
Unaonekana ni bingwa na mtaalamu wa kupiga matukio 😂.Zote 😜
Na ataondoka yeye huku akilia
Kwenye mapenzi kinachovumiliwa sicho wengi wanachotafsiri namna ya uvumilivu, ndio maana wengi huishia kuteseka, kuumia kupata na stress + depression. Kinachovumiliwa kwenye mapenzi ni process ambayo wote mme agree ( ambayo huleta amani, furaha, upendo na kuthaminiana ) ila sio kuvumilia tabia chafu na mambo kama hayo kwamba mtu atabadirokaWakati mwingine tunajidanganya kwa jina la 'uvumilivu' wakati ndani ya moyo tumechoka.
Kuridhika ni amani. Ni kula na kucheka na mtu kutoka moyoni na kulala bila mawazo.
..........Lakini kuvumilia... ni kuishi kwa matumaini ya kwamba 'siku moja atabadilika'.
Tusidanganyane. Sio kila uhusiano unaodumu una maana. Baadhi yetu tumebaki kwa sababu ya woga wa watu watasemaje kutokana na muda tulioupoteza.
Lakini kumbuka, maisha ni mafupi sana kuvumilia mtu asiyekuthamini.
Kuridhika kunaleta tabasamu halisi.
Ulipoamua kupenda, ulitaka amani sio vita ya kila siku. Chagua unachoweza kuishi nacho milele, sio unachoweza 'kustahimili' tu.
Furaha yako pia ina thamani."
Ni kweli kabisaKwenye mapenzi kinachovumiliwa sicho wengi wanachotafsiri namna ya uvumilivu, ndio maana wengi huishia kuteseka, kuumia kupata na stress + depression. Kinachovumiliwa kwenye mapenzi ni process ambayo wote mme agree ( ambayo huleta amani, furaha, upendo na kuthaminiana ) ila sio kuvumilia tabia chafu na mambo kama hayo kwamba mtu atabadiroka
Watu wanavumilia visivyopaswa kuvumiliwa kwasababu hawataki kuelewa true definion ya uvumilivu wa kwenye mahusianoNi kweli kabisa
Mchezo wa kuigiza inaonekana unaujua vizuri, unafaa kukodishwa kabisa kwa matukio maalumu kwa hawa mabinti wasioeleweka uwanyooshe 😅Maalumu kwa watu wasioeleweka 😜