Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

hapa chini ulikuwa unamaanisha nini ?

Baadhi yetu tumebaki kwa sababu ya woga wa watu watasemaje kutokana na muda tulioupoteza.

Lakini kumbuka, maisha ni mafupi sana kuvumilia mtu asiyekuthamini.

Kuridhika kunaleta tabasamu halisi.

Ulipoamua kupenda, ulitaka amani sio vita ya kila siku. Chagua unachoweza kuishi nacho milele, sio unachoweza 'kustahimili' tu.
 
 
Hakuna anaemvumilia mwenzake. Mpo pamoja kwa sababu wote mlishindwa kupata machaguo yenu ya kwanza. Wewe umekosa mwanaume tajiri ndio maana upo nae. Yeye amekosa hela za kuwa na mwanamke wa ndoto zake ndio maana yupo nawe. Wote mnavumiliana.

Kama ushakua bored na mahusiano yako, wewe yavunje tu sio kuja mtandaoni kutafuta wa kukuunga mkono.
 
Jimbo linaonekana kuwa wazi muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…