Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

We jamaa ni HATARI, nasomaga masihara Yako kweny Uzi wetu ule wa rickboi....we jamaa siwezi kukupinga kabisa....heshima kwako👍
 
Hahahaha..mfano usome zilee suspense za Sidney Sheldon novel zake au Dan brown kwenye novel..Kuna zilee time had mwil unasisimukaa hv....@nakuunga mkono mdau
 
Hahahaha..mfano usome zilee suspense za Sidney Sheldon novel zake au Dan brown kwenye novel..Kuna zilee time had mwil unasisimukaa hv....@nakuunga mkono mdau
Watu wanadhani burudani zao ndio burudani ya kila mtu.
 
Aisee mm napenda CINEMA, narudia Tena, mm napenda CINEMA, yaan muda ninao tumia kuwaza kuchakatana ni mdogo sana ukilinganisha na ninavowaza mambo ya CINEMA....

IMAGINE UMEKAMATA PEPSI BARIIIDI NA POPCORN ZAKO, UKISUBIRI "THOR LOVE AND THUNDER" IANZE KUONESHWA KWENY BONGE MOJA LA SCREEN, JUST IMAGINE
 
Hapo ndo penyewe sasa,unaweza kuomba uingie kwenye screen uweke mambo sawa. Kila mtu na raha yake bhana
 
umeona e,
mi mbususu ile pale au bia ile pale au kitabu kile pale lakini niione betting site,au mashine na nipe mtaji ntakimbia kubet bila hata kugeuka nyuma!!
 
Daa nimekumbuka,kuna ile unakuta katkat ya mikalio kweupe pe kama nyama ya kigodamoto!
 
Everyone has got his/ her own tastes and preferences.
 
Hivi mkuu kusoma hata hizi hadithi za kiswahili zinasaidia kujenga uwezo na upeo?
 
Bia tamu na ni tamu kwelikweli
Lakini haijawahi kusemwa kuwa ni tamu kuliko kitu kingine chochote
Fahamu kwamba hata ubwabwa maharage ni mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…