Copolla
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 232
- 571
We jamaa ni HATARI, nasomaga masihara Yako kweny Uzi wetu ule wa rickboi....we jamaa siwezi kukupinga kabisa....heshima kwako👍Mkuuu wanawake wenye makalio makubwa, Mara nyingi wana kua na jasho katikati ya makalio na kati kati ya mapaja.
Jasho kukaa makalion kwa MUDA mrefu na ukichanganya na Chupi hizi za Nailoni ,huishia kutengeneza mazingira mazuri ya Fangasi kukua.
SASA NI MWANAMKE MSAFI TU, NARUDIA, NIMWANAMKE MSAFI TU NDO ATAEPUKANA NA AINA HIYO YA FANGASI.
huo ndo ukweli, nahuenda hata wewe umewah kutana nahilo , kama sio makalio ( wakat wa doggie)... Basi utazikuta mpajan kwa ndani.