Urais wa Kikwete ni wa fedheha sana jamani, muda wake uishe tu akapumzike mzee wa watu | JamiiForums Urais wa Kikwete ni wa fedheha sana jamani, muda wake uishe tu akapumzike mzee wa watuUmenikumbusha kuna Rais WA Nchi jirani alimletea mbofumbofu Mkwere tuliungana humu wote kumshambulia. Siku anaelezea ugonjwa wake nilitaka kulia. Hakuna mpinzani aliwahi kumwombea kifo, nyuzi zipo azilete.
Kumbe naongea na mtoto mdogo! Nilidhani wewe ni mkubwa mwenzangu! Endelea kunyonya maziwa na mama akukorogee uji wa kutosha. Jitahidi kulala mapema ukuwe mtoto mzuri eeeee!
Ni nyumbu tu anayeweza kumsaka mwizi wake huku yeye mwenyewe akiwa kajificha. Mara simtambui. Mara rais wangu yuko wapi. Nyumbu at your best.Kila mtu anapenda kujua alipo Mwizi wake na Tundu Lissu ni moja wa hao
Jangili mwenye Silaha ukimjua sehemu alipo hawezi kukusumbua Lissu anachofanya ni kuelekeza kidole tu but anafanya at safe distanceNi nyumbu tu anayeweza kumsaka mwizi wake huku yeye mwenyewe akiwa kajificha. Mara simtambui. Mara rais wangu yuko wapi. Nyumbu at your best.
Kweli siku hazigandi.Tusubiri kuona wana
sema siku hazigandi