Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

Mmmmm..sina uhakika.
 
Hivi mwanaCCM unapata wapi ujasiri wa kuandika vifungu vya biblia baada ya andiko refu lisilo na mantiki?

Hicho chuma chenu tutakiona kanisani jumapili.

Na huko kilpo kijue siku kikifa watu watashangilia zaidi ya hii ya wiki hii.

Wananchi tubajitambua kwamba kila mtu lazima atakufa hatuwezi shangilia Eti Mzee Wetu kafa,Turkish as ganglia kipindi cha kampein na kipindi alipotangazwa kuwa Rais kwa mara ya pili.
 
Wananchi tubajitambua kwamba kila mtu lazima atakufa hatuwezi shangilia Eti Mzee Wetu kafa,Turkish as ganglia kipindi cha kampein na kipindi alipotangazwa kuwa Rais kwa mara ya pili.
Unajitambua kivipi unashindwa hata kuedit ulichoandika.

Tusiojitambua tutashangilia,kama mnaojitambua mlivyoshangilia Lissu kupigwa risasi.
 
Hata kama hatambuliki lakini anatumia kodi zetu lazima tuhoji kama yupo hai au kafa au anaumwa lazima tujue hili si ombi ni takwa la kikatiba
Kama imesema hivyo wapi jinga wewe?

Wewe kuna mtu amewahi kukuhoji juu ya afya yalo?

Mmekataa kuwa siyo Rais na katiba hamuitambuia na kaapa kwa katiba hiyohiyo unayojifanya inatamka hivyo.

Kweli mwanamke akiwa malaya na akili mbovu kinachoumia ni sehemu zake za siri
 
Hata kama hatambuliki lakini anatumia kodi zetu lazima tuhoji kama yupo hai au kafa au anaumwa lazima tujue hili si ombi ni takwa la kikatiba
Si raisi wa ccm tu, bali wa wote, hivyo tuna haki ya kuulizia habari zinazomhusu.
 
.
 
Wananchi tubajitambua kwamba kila mtu lazima atakufa hatuwezi shangilia Eti Mzee Wetu kafa,Turkish as ganglia kipindi cha kampein na kipindi alipotangazwa kuwa Rais kwa mara ya pili.
Anayeshangilia atakuwa hajitambiu..maana Kulanafsi zaqatulmauti.
 
Ukiandika upupu kama huu, jitahidi uandike kwa kifupi!

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
1. Kwani Kutomtambua mtu kwa cheo fulani ina maanisha hutaki kumwona hadharani?
2. Kwani wananchi hawana akili hadi wale hayo matango pori? Au unawachukuliaje wananchi? kwanini unawadharau kiasi kwamba hawawezi kupambanua mambo?
3. Kwanini unataka JK achukiwe? Mbona unaonekana kutofurahishwa na watu kumpenda JK
4. Kwani hata huyu wa kwetu anaiga staili ya yule wa Korea? Si mngesema tu kwamba tusimate shida yupo kwenye kuiga alichokifanya wa Korea
5. Sasa kama wananchi wamepuuza mnawakamata wa nini?
6. Kwa nini unamfananisha Mungu na hicho kinyago chenu?
7. Kwanini unaona fahari kumwita mtu ni Chuma kilicho imara? Binadamu anageukaje kuwa Chuma? Chuma! mbona alipanga foleni kwenye kikobe cha babu kama kweli yeye ni chuma.
8. Kwanini unaamini ya Mbowe na Mrema ni ya kutengenezwa na usiamini kwamba na hili la Shetani wenu ni la kutengenezwa?
9. Kwanini unawafananisha watu na kuku?
10. Hivi kwa yote uliyoyasema unapata wapi ujasiri hata wa kukitaja kitabu kitakatifu, Biblia? Huoni unakufuru? Unazungumza mambo ua hovyo kwa lugha ya hovyo kinyume na Biblia halafu unamalizia kwa kuirejea Biblia hiyo hiyo inayokataza unayoyafanya. Hiyo ni kufuru. Ndio maana mnapata laana.
 
Ila kwa kweli hata kama kuna siku atajitokeza hadharani ujumbe umemfikia. Kwamba anaombewa mabaya kila kona. Hii siyo afya kwa kiongozi wa watu.
 
Kwani Lissu ameuliza nini?tumieni akili basi au na akili nazo zinaumwa?
Nashangaa kuanzia hata wakubwa tuliotegemea watumie busara kulimaliza hili sakata wanalalamika tu na kufoka. Hii haisaidii. Maswali ni mawili tu: Yuko wap? Ana hali gani? Basi. Kufoka na Kelele nyingi za nini?
 
Aisee
Hakuna Mtihani mgumu kama kuridhisha Watu...Hata mitume walishindwa

Raisi MAGUFULI usitoke nje kutaka kuwaridhisha maana hautaweza
Asitoke nje! Mbona unampa kifungo cha ndani bila sababu za msingi? Atoke tu maana message sent. Na mimi natamani sana awe mzima wa afya na awe ameyasoma na kuyasikia yote yalioyosemwa na watu mbalimbali juu yake ili apate picha kamili ya watu anaowaongoza kwamba wanamuwazia nini na wanamuonaje yeye kama kiongozi wao.
 
1. Kutokumtambua mtu ni sababu kubwa ya kutokutaka kumuona. Hata watu wa kwenye mahusiano pale yanapovurugika hili linaeleweka sihitaji kukufafanulia zaidi.
2. Hata JK aliwahi kusema Tanzania kuna viwanda vya kuzalisha uongo. Hakuna jipya endeleeni kula matango pori. PM amewasaidia hamtaki kusikia sasa unataka nini zaidi?
3. JK ni kati ya ma role model wangu. Nimetoa mfano mlivyomtesa wakati wa uongozi wake. Tatizo ni akili za kuku! Zipo post humu ningeweza kuzipandisha lakini zinaniumiza roho siwezi kufanya hivyo. Usisahau kumzushia vifo zaidi ya mara tatu na kumsema ni mgonjwa tangu alipoanguka pale Jangwani. Hovyoooo!!
4. Wa Korea amefanya nini?
5. Wananchi wanakamatwa kwa mujibu wa sheria. Kumbuka aliyemzushia Mzee Mwamunyange kuwa amekufa. Tena humu mstaafu mkamzushia JK ndiyo kamuwekea sumu kwenye AC nk Wewe jiandae kwenda kumtetea Mahakamani na sio kuhoji humu JF kwani hakuna majibu.
6. Tafuta mahali kuna kinyago kimefananishwa na Mungu kwenye andiko lako. Naona akili zinakutosha kuvuka barabara tu! Unaleta viroja badala ya kujibu hoja.
7. Google "iron lady" utaelewa.
8. Chadema mna siasa za kutengeneza na za matukio. Kama hawakukushirikisha kwenye kikao chao pole sana. Pambana na hali yako.
9. Google "chicken vision" utaelewa
10. Laana isiyo haki haimpigi mtu (Mithali 26:2). Endelea kupambana na hali yako taratibu bila kutikisa wengine. Soma tena Zaburi 35 na 109. Kama haikuhusu mbona unalialia. Tena tumeifungia siku 21 na saba kavu. Subiri utaona Mungu hadhihakiwi.
 
Ni wachawi wachache wanaomuwazia mabaya. Hata Mungu alikuwa na wanaomwazia mabaya wakiongozwa na baba yao Ibilisi Shetwani. Hata Yesu Kristo alikuwa na kina Yuda nk. Hakuna jipya chini ya jua.
 
Ila kwa kweli hata kama kuna siku atajitokeza hadharani ujumbe umemfikia. Kwamba anaombewa mabaya kila kona. Hii siyo afya kwa kiongozi wa watu.
Kila kona ya timu kuzimu ndio wanaomuombea mabaya. Hata hivyo mabaya hayatampata wala tauni haitakaribia hema yake sawa na Zaburi 91
 
 
Ni wachawi wachache wanaomuwazia mabaya. Hata Mungu alikuwa na wanaomwazia mabaya wakiongozwa na baba yao Ibilisi Shetwani. Hata Yesu Kristo alikuwa na kina Yuda nk. Hakuna jipya chini ya jua.
Unapata wapi ujasiri wa kumfananisha huyu Ibilisi wenu na Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…