Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

Kama hajasema hakupita mzumbe takenthat as fake ,sisi tunamjua tumesoma nae japo nilimuacha mwaka mmoja au miwli ,alikua maarufu kwa uinga ,mzumbe kulikua na kitu kinaitwa kata kiu na kulikua na studio za kuongelea ikifatiwa na panch

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa kabisa Mkuu
 
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere ,Hatimaye mdomo umemkatika ,Wakwanza kumuumbua alikuwa mama wema baada ya kuanika maongezi yao ya faragha yaliyohakikisha kwamba kumbe jamaa hutumia ukaribu wake na wanasiasa kufanikisha mambo.

Kiumbuko kilicho mmaliza ni kile cha kuwa mbele kwenye misiba huku wasanii wenzie wakimtuhumu kuwa ana maslahi ya kifedha baada ya hili bomu jamaa amekuwa mkimya na kimbelembele kimekata.

Lakini sasa tunalo! Ameibuka jamaa anaitwa Mwijaku ,ok wengi hamumjui picha hii:

View attachment 999919

Hichi kijamaa sas hivi ndo amekuwa Mr Right asione jambo lina trend mjini basi ataita media na kutoa maoni yake kama vile yeye ndo gold standard ya kila kitu ,yaani kama kajipa uongozi hivi (Nyerere flani amaizing ) Nisikuhshe ingia youtube andika jina lake li search kila crip itakuboa .
mfano







Haha, jamaa ana kiherehere sijawahi kusikia!
 
Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Wanaume wa maana wanatubania, wanaenda kuyapa hayo mehu
 
Umeliona ilo mkuu, Mafala sana hawa manzi
Watatuelewa tu badae, ila sasa hivi kipindi menina yupo kwenye ma stress ni kipindi kizuri sana cha kumpata kuliko kipindi chochote kile.. watoto wa kike kipindi kama hiki huwa wanahitaji wanaume hasa wanao weza kuwa handle... ni sawa na demu akipigwa chini huwa kumpata ni dk 0... na unaweza mla siku hiyo hiyo... hii ina apply kwa menina
 
Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Si mnataka maneno mengi.. ya uongouongo na yakuwafurahisha...
 
Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Baadhi yenu mnapenda kusikia uwongo, pia mnapenda wanaume mazoba wasio na uwezo wa kuwa kemea.
 
Mkuu wala tusibishane, tafuta hiyo hapo interview youtube, anaelezea historia yake, na anasema kilichomleta Dar ni elimu, na kasomea UD, kaeleza mkapa yeye ni mtoto wa ngapi, sijui wako wangapi nk, so tafuta hiyo hapo then ulete mrejesho, la sivyo kama kasoma mzumbe nayeye kasema kasoma UD atakua tapeliView attachment 1000280

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwadanganya alisoma mzumbe BPA 2006 na navyijua mm mwaka wa Pili alidisco labda baada ya hapo alienda UD

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi huenda alidisco mzumbe akaenda UD sababu mimi nilikuwa namuona UD miaka ile ya 2011/12
 
Wakati wagumu tungemla kimya kimya tukamalizana kibingwa tu
Wakati wagumu tungemla kimya kimya tukamalizana kibingwa tu
kimya kimya
shq.gif
 
Back
Top Bottom