Hahahaaa nimecheka sana. Ni kweli kabisa. Wengi wana sifa ya uongeaji. Ila jamaa kazidisha; ana habari za kila mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa nimecheka sana. Ni kweli kabisa. Wengi wana sifa ya uongeaji. Ila jamaa kazidisha; ana habari za kila mtu.
Hahahaaa nimecheka sana. Ni kweli kabisa. Wengi wana sifa ya uongeaji. Ila jamaa kazidisha; ana habari za kila mtu.
Napokea hili swali mara nyingi.😊😊 ww mbn huna...alafu wengi nI ma TISS
kwenye kiherehere hao wawili wote cha mtoto, kiherehere anacha bashite...hasa ikiwa ngosha anakuwepo kwenye tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Napokea hili swali mara nyingi. Ninazo...nazificha. Kumbe, hilo la TISS nilikuwa sijui.
Sawa sawa kabisa MkuuKama hajasema hakupita mzumbe takenthat as fake ,sisi tunamjua tumesoma nae japo nilimuacha mwaka mmoja au miwli ,alikua maarufu kwa uinga ,mzumbe kulikua na kitu kinaitwa kata kiu na kulikua na studio za kuongelea ikifatiwa na panch
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere ,Hatimaye mdomo umemkatika ,Wakwanza kumuumbua alikuwa mama wema baada ya kuanika maongezi yao ya faragha yaliyohakikisha kwamba kumbe jamaa hutumia ukaribu wake na wanasiasa kufanikisha mambo.
Kiumbuko kilicho mmaliza ni kile cha kuwa mbele kwenye misiba huku wasanii wenzie wakimtuhumu kuwa ana maslahi ya kifedha baada ya hili bomu jamaa amekuwa mkimya na kimbelembele kimekata.
Lakini sasa tunalo! Ameibuka jamaa anaitwa Mwijaku ,ok wengi hamumjui picha hii:
View attachment 999919
Hichi kijamaa sas hivi ndo amekuwa Mr Right asione jambo lina trend mjini basi ataita media na kutoa maoni yake kama vile yeye ndo gold standard ya kila kitu ,yaani kama kajipa uongozi hivi (Nyerere flani amaizing ) Nisikuhshe ingia youtube andika jina lake li search kila crip itakuboa .
mfano
Wanaume wa maana wanatubania, wanaenda kuyapa hayo mehuInadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Wanaume wa maana wanatubania, wanaenda kuyapa hayo mehu
Watatuelewa tu badae, ila sasa hivi kipindi menina yupo kwenye ma stress ni kipindi kizuri sana cha kumpata kuliko kipindi chochote kile.. watoto wa kike kipindi kama hiki huwa wanahitaji wanaume hasa wanao weza kuwa handle... ni sawa na demu akipigwa chini huwa kumpata ni dk 0... na unaweza mla siku hiyo hiyo... hii ina apply kwa meninaUmeliona ilo mkuu, Mafala sana hawa manzi
Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Where is love?Umeweka Crips bado The Blood and KKK.
Manzi kaangukia kwa mbugilaUmeliona ilo mkuu, Mafala sana hawa manzi
Si mnataka maneno mengi.. ya uongouongo na yakuwafurahisha...Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Baadhi yenu mnapenda kusikia uwongo, pia mnapenda wanaume mazoba wasio na uwezo wa kuwa kemea.Inadaiwa kuwa Mwijaku ndiye mvujishaji wa video za menina. Ila jamani wanawake nasi tuna huruma. Mwanaume anaishi kwa kuchambana hapa mjini naye unampa mwili wako?
Manzi kaangukia kwa mbugila
Mwishowe ndy hayo
Ova
Mkuu wala tusibishane, tafuta hiyo hapo interview youtube, anaelezea historia yake, na anasema kilichomleta Dar ni elimu, na kasomea UD, kaeleza mkapa yeye ni mtoto wa ngapi, sijui wako wangapi nk, so tafuta hiyo hapo then ulete mrejesho, la sivyo kama kasoma mzumbe nayeye kasema kasoma UD atakua tapeliView attachment 1000280
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi huenda alidisco mzumbe akaenda UD sababu mimi nilikuwa namuona UD miaka ile ya 2011/12Aliwadanganya alisoma mzumbe BPA 2006 na navyijua mm mwaka wa Pili alidisco labda baada ya hapo alienda UD
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wagumu tungemla kimya kimya tukamalizana kibingwa tu
kimya kimyaWakati wagumu tungemla kimya kimya tukamalizana kibingwa tu