Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Mbona umepaniki? Mimi nimetoa maoni yangu.Sasa wewe ulitakaje?
Chuki inakusumbua sio bure!
inategemea imani na imani
watumie neno ganiNimependekeza wasitumie neo kufunga maana wanachofanya sio kufunga.
Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batilo ya kufunga.
Wala huwezi kufa dada. Jaribu siku moja na utakuwa na afya tele. Mwili utaondoa sumu zote.Unataka wafe mazima?
Hao wa 40 kavu pia wako vizuri japo kisayansi mwanadamu akivuka siku 3 bila maji ni hatari kwa afya maana kinga ya mwili inashuka.Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Wanaweza kubuni lolote zuri. Mfano: mabadiliko ya ratiba ya kula.watumie neno gani
Funga ina tafsiiri nyingi sana.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Humu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batilo ya kufunga.
Mwezi wa kutubu huu Binadamu dhaifu sisi.Kumbe ni kujizuia maovu kwa masaa, OK.
Sawa mkuu, kwahiyo mnajizuia na dhambi na chakula kwa muda kuanzia asubuhi mpaka jioni.Funga ina tafsiiri nyingi sana.
Katika kiarabu neno funga lina maana ya KUJIZUIA.
Sasa mtu anaweza akaseema mimi najizuia kula ugali mwezi mzima ila vyakula vingine anakula na akasema amefunga bado yupo sahihi kwa sababu anaingia katika tafsiri ya funga yenye maana ya kujizuia.
Sasa unajjizuia na nini ? Hapo inabaki tafsiri ya mtu husika
Tafsiri yetu sisi waislamu ya kufunga ni kujizuia kula na kunywa na kuingilia kimwili wakati wa mchana,sijui watu munababaika wapi.
Hata wewe mtoa mada unaweza ukaanzisha dini yako ukasema dini yetu kila januari tutajizuia kuingia jamii forum hiyo ndio itakuwa funga yetu kwenye dini hiyo.
Utakuwa upo sahihi kwa mtazamo wako na wala hakuna atakayekupinga kwa sababu neno funga au kujizuia ni pana.
Na kwamba unafunga au kujizuia na nini hapo ndio wataachiwa wahusika wa jambo husika watoe tafsiri yao.
Kwa hivyo mtoa mada ndugu yangu hiyo ndio tafsiri yetu sisi ya maana ya funga.
Usitake kuturekebisha kwamba tutumie jina lingine wakati hakuna pahala tumekubaliana kwwmba kufunga maana yake ni kadhaa wa kadhaa..
Mkuu wewe ni mchokozi, kwanini usiache watu wafanye kile wanachoamini na wewe ufanye unachoamini? Pia kumbuka kuwa kufunga kuko kwa aina nyingi.Kwamba siku zingine hamjiepushi na uovu? Sasa swala tano zinakuwa za kazi gani kila siku.
Mnaita kufunga kimsingi kwasababu hamli mchana na ndio mimi nimetoa changamoto kwamba huko sio kufunga.
Halafu jinsi unavyojibu hapa inaonesha namna gani hauelewi maana ya kufunga.